Asante sana Makole kwa infos, ila vipi suala la internet kwa huko inakuaje? na kama mtu una modem yako, speed ni ya GPRS, 3G au HSDPA?
dah!? sa kama si wengine ni kama tuna allergy tukikosa hayo mambo aisee.Pia nasikia wameblock Facebook (Ha ha ha haaaa hiyo kwangu hainashida)
Jamani hili ni vema pia tukalijua je makanisa na misikiti haviko mbali na chuo kuna wengine bila ya kwenda huko maisha hayatawezekana.
Yaani waungwana mmecover kila kitu tunashukuru sana ns mungu awajalie mfanikiwe maishani!!
Vipi wanaruhusu kufika chuo 1week kabla ya registration kuanza??
vp hosteli kuna madarasa ya kusomea, au inakuwaje mwana
Ndani ya hostel ipo sehem inaitwa Common rum, hapo sansana na zile discussion tu, vyumba ni vikubwa sana ambapo unaweza kujisomea, Baadhi ya college kama education zipo taa za mezani hivyo waweza piga msuli kadri unavyotaka. Mara nyingi kusomea hata hivyo ni madarasani, ingawa kwa college nyingi madarasa na hostel viko mbali kidogo. But sehemu nyingine za kusomea ni Cafteria, au library.
Yapo makanisa na misikiti. but kwa kuwa bado hayajajengwa rasmi, kuna majengo yanatumika kwa ajili hiyo. Lakini College ya social science upo msikiti rasmi, sijajua kanisa
Na tuliochaguliwa statistics utaratibu upoje toka ctend hadi chuo esp cku ya 1
hili swali halija ulizwa`vipi kuhusu library iko poa?,and kila college ina library yake or ipo moja 2 chuo kizima? 2saidieni kwa hili
that gud, na je inakuwaje kuhusu vishawish kwa mabinti au na huku mambo magumu kama UDSM. Kama ndo ivo Mungu atunusuru na imani zetu