Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Wala hapana kujali, tutawapa msaada wa mawazo pindi mtakapotuhitaji ili nanyi mfanikiwe.

makole vp habari ya msosi nackia bei ipo juu xana, afu vp kuhusu mambo ya entertainments kama mpira wa majuu kuna sehemu za kuangalia mpira kama epl coz wengne ha2taki kupitwa na ki2 mwana
 
Vipi hali ya hewa wengine ni dhaifu sana wasije wakakumbwa na vichomi kwa kuacha masweta home, au full joto? Mbu je malaria inaua wakuu,
 
ratba za vpindi znaisha xaa ngapi au kila college zna ratba zake je kuna vpindi vya ucku na kwa cku moja kuna vpindi vngapi
 
ratba za vpindi znaisha xaa ngapi au kila college zna ratba zake je kuna vpindi vya ucku na kwa cku moja kuna vpindi vngapi
lecture zinaanza saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku kila lecture ni masaa 2. Kwa mtu mmoja mmoja inategemea kwa siku anaweza kuwa na lecture 1, 2,3 au hata asiwe nayo kabisa
 
kila college huwa ina ratiba yake na kwa wale wa EPL zipo sehemu za kuangalizia mechi
 
makole vp habari ya msosi nackia bei ipo juu xana, afu vp kuhusu mambo ya entertainments kama mpira wa majuu kuna sehemu za kuangalia mpira kama epl coz wengne ha2taki kupitwa na ki2 mwana

Inategemea na college, kwa sehemu kubwa misosi ni tatizo katika college za social science, Informatics na Medicine, huko hakumna mama ntilie maarufu kama wajasi ambao msosi buku unakula unasaza. College hizo unakula CAFE, msosi hauridhishi, mchache, low quality nk. bei 100-2500/ no bargaining. KLwa college ya Education na Humanities wao pamoja na kwamba zipo cafe za chuo ila kuna mama ntilie maarufu kama WAJASI, hao watapeta kwani full kujaziwa. Watakaoenda college hizo wao waulizie tu njia ya kwa wajasi, wanasaidia sana watoto wa wakulima. Kuhusu michezo, full raha, kuna maeneo ya kuchek mipira full. Kwa education kuna cafe mbili full superspot, kuna hostel mbili nazo ni full superspot. Kijijini pia watu wanachek. Social halkadhalika wanazo na hata humanities. Kama ni muogeleaj, nadhani bwawa la kuogelea pale humanities yumkini likaanza kufanya kazi katika mwaka huu wa masomo, Nakuwekea picha la bwawa la kuogelea hapa chini, bwawa hili lipo ndani ya UDOM!

POOL.jpg pul2.jpg pul22.jpg
 
Vipi hali ya hewa wengine ni dhaifu sana wasije wakakumbwa na vichomi kwa kuacha masweta home, au full joto? Mbu je malaria inaua wakuu,

hali ya hewa sio mbaya japo kuna upepo sana, mbu wanakuwepo sana wakati ule wa semister ya pili mwanzoni
 
dah kumbe ni full mzux ngoja 2jipange, na kuna umbali gani toka dodoma mjini mpaka pande za huko, vp chuo kina uzio au ni full interaction na wanakijiji
 
dah kumbe ni full mzux ngoja 2jipange, na kuna umbali gani toka dodoma mjini mpaka pande za huko, vp chuo kina uzio au ni full interaction na wanakijiji

km 7 toka mjini ndio unaingia lango la Udom hakuna uzio
 
ile ni university hakuna utakachohitaji usikipate, wewe angalia zaidi nini kilichokupeleka hapo ili ufanikishe lengo lako

pouwa mkuu 2nashukuru wa msaada mnaotupa kweli huku ni sehemu ya great thinkers
 
Je wasichana wanaruhusiwa kuingia kwenye hostel za wavulana and vice versa?

full kukesha, ila kwa social science wao ni most wanted criminal, kwa education na sehemu nyingine si rasmi lakini anytime mnajachia. Na yale mambo yetu ya kudownload (kupigwa exile) kama kawa. Ila kuna kontena la mama, unalijua?
 
Vipi hali ya hewa wengine ni dhaifu sana wasije wakakumbwa na vichomi kwa kuacha masweta home, au full joto? Mbu je malaria inaua wakuu,

DOM Baridi baridi nhaswa, jua jua kweli. kwa sasa utakutwa na msimu wa mvua, tafuta koti na sweta. Ikipita hiyo baridi mbaya. Mbu si wengi sana wakati wa baridi, pia ukipata chumba kuanzia gorofa ya pili utapeta, mbu ni wengi gorofa ya 1 na ground floor za hostel
 
Back
Top Bottom