Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

hembu acheni kudanganyana udom ni chuo majengo!!! kama yule lecture wenu anayeitwa madam suzy anayekagua hadi viatu akija darasani badala ya kufundisha ...maji majanga ..usafir saa mbili hamna, walinz wanawakamata wanafunz kisa nguo fup au zimebana!!! udom kimepoteza cfa ni kama kampala international university(KIU).
 
hembu acheni kudanganyana udom ni chuo majengo!!! kama yule lecture wenu anayeitwa madam suzy anayekagua hadi viatu akija darasani badala ya kufundisha ...maji majanga ..usafir saa mbili hamna, walinz wanawakamata wanafunz kisa nguo fup au zimebana!!! udom kimepoteza cfa ni kama kampala international university(KIU).

Heh kwa sababu ulizotoa sidhani kama zina madhara kwa masomo, hayo ni mambo ya kawaida.
 
Heh kwa sababu ulizotoa sidhani kama zina madhara kwa masomo, hayo ni mambo ya kawaida.

Umeona eeh, mi nilijua anaweka point kumbe abdofusement tupu! Tusitishike wana udom, cha muhm kuheshm kinachotupeleka pale, na si usharobaro wa bila sababu
 
hembu acheni kudanganyana udom ni chuo majengo!!! kama yule lecture wenu anayeitwa madam suzy anayekagua hadi viatu akija darasani badala ya kufundisha ...maji majanga ..usafir saa mbili hamna, walinz wanawakamata wanafunz kisa nguo fup au zimebana!!! udom kimepoteza cfa ni kama kampala international university(KIU).

Haya basi nawewe tunakushukuru kwa mchango wako
 
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:-

1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela
halafu safari utaiona chungu. Hata wakijifanya wameingia mkataba na chuo, usiingie mkenge. Chukua basi kwa
kujitegemea wewe mwenyewe.

2. Stendi ya daladala zote ndani ya Dodoma huanzia safari zake stendi ndogo ya daladala-Jamatini. Kuwa makini na
eneo hilo kwani waleti na simu za mkononi hapo zinasakwa kwa udi na uvumba.

3. Uwe na uhakika wa College unayokwenda. Kwa kifupi, ziko daladala zinazokwenda Education, jina jingine wanapaita
Ng'ong'ona ama Ng'ox. Wale waliochaguliwa college of Education, Medicine, Informatics na natural Science upande
daladala hizo, vinginevyo utapata tabu kubwa.

4. Wewe unaekwenda College of social science pamoja na humanities panda daladala inayokwenda Social au Bondeni.
Kinyume na hapo utajiju.

5. Nauli kwa daladala ni Tsh 350 kwa safari yoyote ndani ya College, Kutoka Jamatini hadi Chuo ni 350 pia. Wahuni
wanapiga hadi 1500/- kwani wanajua kuwa ni wageni hamjui kitu.

6. Tax inategemea maelewano, standard bei ni elf 8-10. epuka kupanda tax kwani utazungushwa mjini mitaa karibu
yote na watakwambia bei kubwa, hata hivyo, kama huna uhakika wa college yako pia wanaweza kukuingiza ndani
ya chuo wakakuzungusha college zote, watakuchanganya na majengo then watakupiga hela ndefu.

7. (kwa wanaokwenda social science) Chagua mavazi ya heshima kwani ukidhani unakwenda kujiachia unaweza
ukajikuta unarudi nyumbani siku hiyo hiyo, Kwa wanadada, vimini, suruali za kubana, nguo za ajabu ajabu waachie
wadogo zako. Kama huna za kushonesha anza kuzitafuta. Kwa wanakaka, punguza idadi ya majinzi ( Hasa kwa
wanaokwenda social science), mitindo ya kata K, kukwenDodoma na Hivi kwa sie ambao tunataka kuja kubadilisha kozi je inawezekana. Me nimechaguliwa bachelor of ed in special needs nataka kuchange na kuchukua bachelor of ed in Ict nijuze

Ni ka mchakato flani, inaregemea utaongea vipi na wakubwa. zipo program ambazo ni rahisi kubadili ila nyingine ni utata mtupu. Wanaweza kukwambia kuwa mkopo wako ulipelekwa Bedsped, ukienda Ict jilipie, utafanyaje hapo?
 
hembu acheni kudanganyana udom ni chuo majengo!!! kama yule lecture wenu anayeitwa madam suzy anayekagua hadi viatu akija darasani badala ya kufundisha ...maji majanga ..usafir saa mbili hamna, walinz wanawakamata wanafunz kisa nguo fup au zimebana!!! udom kimepoteza cfa ni kama kampala international university(KIU).[/

Ndo maana nimeeleza kwenye post ya msingi kuwa haka ni ka-ushauri kutokana na ka-uzoefu kungu kadooooogo eneo hilo. we kama unasoma hapo au umesoma hapo haya tupe ushauri wako wa hilo eneo. Kama sisi tumekosea kujenga ukuta, wewe ukiubomoa jenga wako mzuri, vinginevyo, kuubomoa ukuta kwa sababu ni mbovu na halafu usiujenge basi utakuwa hueleweki, Hongera na wewe kwa kusoma UDOM, Mi sijabahatika kusoma hapo bwana niliwahi kukaa getini tu kuwalinda nyie wasomi wetu bana, baadae walinitimua hapo!
 
Ubarikiwe sana Mkuu kwa kuwajali Watanzania wenzako. Ni wachache sana wenye moyo kama wako
 
Ahsanten wadau wote kwa kunifumbua macho.before i knew nothing about UDOM.Mungu awazidishie mioyo ya iman.
 
Yaani waungwana mmecover kila kitu tunashukuru sana ns mungu awajalie mfanikiwe maishani!!

Vipi wanaruhusu kufika chuo 1week kabla ya registration kuanza??
 
Unastahili pongezi kwa kuwafungua macho hawa nduguzo wanaenda kuanza kutafuta za nepi huko dodomaaa, kwan wengi ulizwa kwa mtindo huo na mingineyo, Wubarikiwe xana kwa ushauri huu.
 
Mkuu kwa ulichokifanya ktk hii post yako ni jambo zuri sana lenye kupendeza na ukarimu ndani yake nazidi kuamini waTZ wote ni ndugu na kwakupitia JF tutaelimishana na tutakuwa wamoja kwa msaada wa mtu mmoja mmoja na hata kwa taifa
 
hili swali halija ulizwa`vipi kuhusu library iko poa?,and kila college ina library yake or ipo moja 2 chuo kizima? 2saidieni kwa hili
 
daaaah..pole sanah kaka!! mungu atakubariki utapata kazi ya ulinzi sehemu nyingine!
 
Back
Top Bottom