Mfukunyuzi
Senior Member
- May 30, 2012
- 125
- 9
Wala hapana kujali, tutawapa msaada wa mawazo pindi mtakapotuhitaji ili nanyi mfanikiwe.
Je wasichana wanaruhusiwa kuingia kwenye hostel za wavulana and vice versa?
Suala la exile hapo.
lecture zinaanza saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku kila lecture ni masaa 2. Kwa mtu mmoja mmoja inategemea kwa siku anaweza kuwa na lecture 1, 2,3 au hata asiwe nayo kabisaratba za vpindi znaisha xaa ngapi au kila college zna ratba zake je kuna vpindi vya ucku na kwa cku moja kuna vpindi vngapi
cjakuelewa unamaanisha nini hapo mkuu
makole vp habari ya msosi nackia bei ipo juu xana, afu vp kuhusu mambo ya entertainments kama mpira wa majuu kuna sehemu za kuangalia mpira kama epl coz wengne ha2taki kupitwa na ki2 mwana
Vipi hali ya hewa wengine ni dhaifu sana wasije wakakumbwa na vichomi kwa kuacha masweta home, au full joto? Mbu je malaria inaua wakuu,
dah kumbe ni full mzux ngoja 2jipange, na kuna umbali gani toka dodoma mjini mpaka pande za huko, vp chuo kina uzio au ni full interaction na wanakijiji
km 7 toka mjini ndio unaingia lango la Udom hakuna uzio
vp totoz zinapatikana lakini au ni magumashi
vp totoz zinapatikana lakini au ni magumashi
ile ni university hakuna utakachohitaji usikipate, wewe angalia zaidi nini kilichokupeleka hapo ili ufanikishe lengo lako