wale mtakaoishi college of education hakikisha unavyombo vyakutosha kuifadhi maji...vizur room yenu ikawa na JABA.
Vp sisi wa social science?
Mkuu me ntakuja na begi 1 kubwa vp nauli haitaongezeka? Lingine sijahesabia kwakua ni dogo la mgongoni.
oya mkuu unapiga na wewe pande hzo nini, vp medicine hapo wakuu wanaosoma hapo wanasema iko vp , ebu nisaidie kwa hlo mkuu
vp wa CoES kuna tatzo lolote au utata 2jipange
Hapo wanapaita St social, (samahani kama ntawakwaza watu), hapo kuna mapinduzi ya mavazi, ndipo palikuwa panavaliwa vivazi. Ila kwa sasa nadhani ndio college inayoongoza kwa nidhamu ya mavazi. wanawashinda walimu kwa haiba hapo. Hostel za kumwaga sana, maisha ya hapo ndo ivyo tena, mtu pesaaaaa na watoto wa kishua. ingawa wapo watoto wa wakulima lakini nao wanabadilika wakifika hapo.
Ukiingia eneo hilo heshimu "pavement" usikate njia ukakanyaga nyasi kufuata njia zisizo rasmi, utakinukisha mapema, wako vijana wa SMA-JKT (SINA HAKIKA KAMA BADO WANALINDA ENEO HILO), unaweza kujikuta uapanda na kumwagilia hayo majani, Usimwage maji dirishani, usianike kitu chochote dirishani, utaingia matatani. Hapo ni sosho ndugu!
Mkuu hapana, mimi sina mkataba tena na Udom. Kwa MD siwajui maana wako busy kupindukia wadau wa Coed wanaweza kuwafahamu vizuri laada wanaweza kukusaidia zaidi
kuna muda maalum wa kutoka na kuingia chuoni
kuna muda maalum wa kutoka na kuingia chuoni
Asante bro kwa kuwashauri wadogo zetu,wakumbushe na issue za cafeteria vs wajasi wacje wakaingia mkenge.Mimi nshaua kitambo.
konda wa daladala wana tabia ya kutoza mzigo 500/- sasa itategemea utabeba mingapi na hiyo scramble ya usafiri inavyokuwa ya mshikemshike
Wadau vp kuhusu computer engineering? Lecturerz wapo wa kutosha? Vp kuna maji? Na rum zao zina facilities za kutosha?
Wings unachekesha sana ndugu, vijana wajiandae kama wanakwenda JKT vile. simple sana. Begi moja dogo tosha sana.