Jamani ..mbona sielewi huu utaratibu.. jina lipo orodha ya Tcu. BSc in phy UDOM..nimefika chuoni naambiwa jina limerudishwa tcu..HAKUNA NOTIFICATION yoyote tcu bado inanionesha SELECTED
Hivi humu kuna mwana udom ambae anaenda soma Bch of scienc in phy? Nataka nijue kwa anaefaham hii coz mwisho wake unaweza ajiriwa wap? Alaf kweny barua wamesema colleg yang ni ya natural and math science unapanda magar gan?
MSAADA TUTANI....!!BODI washatoa mkopo na fees tayari washatuonyesha sh ngapi wanatulipia!!swali ni jee?mie nilipe kidogo ama natakiwa lipa kama chuo kilivyoniagiza maana chuo kimesema nilipe even hata kama meomba mkopo
huo ni uzushi mtupu udom nimoja kati ya vyuo vtatu vyakwanza kupata mkopo yaan wakshapata udsm bax udom knafata na hostel n full miaka yote hata kama unataka rum ya pekee ako