permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Nna physics 'C', chemistry 'C' & biology 'C'..! Je nnaweza nkasoma medicine UDOM.
Alafu uwe unatibu watu?
Nna physics 'C', chemistry 'C' & biology 'C'..! Je nnaweza nkasoma medicine UDOM.
another insane
Mwaka wa kwanza mtafungua chuo tarehe.
18.10.2014 lipia nyumbani ada kukwepa usumbufu
Jamani hv TCU hawajaachia matokeo ya vyuo(selection) chuo cha UDOM. wala UDSM.
kuhusu issue ya kukaa "off-campus".
Hili suala lipo na linawezekana japo mchakato wake ni mkubwa kwa mwaka wa kwanza.
SABABU: Wanadai kuwa ili ukae off-campus ni lazima.
1.uandike barua rasmi kwa DEAN OF STUDENTS kwenye college yako husika ikipitia kwa BLOCK WADEN husika ktk block unaloishi.
2. barua hii huandikwa MWISHONI MWA SEMESTER YA MWISHO ya mwaka wako wa masomo i.e 1,2,3,e.t.c.
3. barua hii huambatana na SABABU zenye mashiko za kwa nini uruhusiwe kuishi nje ya chuo. Mfano KAMA ZILE ZILIZOELEZWA KWENYE STUDENTS BY-LAWS i.e mimba, mtoto mchanga, hali ngumu ya maisha(ushaidi uwepo),kuuguza, matatizo makubwa ya afya e.t.c.
N.B: HURUHUSIWI KUKAA KWA SEMESTER OFF-CAMPUS.
>HAUTOLIPA GHARAMA ZOZOTE ZA DIRECT COST mbal na hela ya bima ya afya na UDOSO.
jamani wadau naomba msaada chuo cha udom S3272/0071/2011
Alafu uwe unatibu watu?
Msosi please usile cafteria za UDOM muhimu sana! Utahara damu, usichanganywe na maru maru mkuu! msosi bomba kwa wajasi!
thanks kwa msaada maana nlikuwa nshapanic kweli bac wakitoa utanjulisha
Waambie,pia nakupongeza kwa kuwapa newz mapema.Wasijesema hawakuambiwa.