Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

wanaruhusu kurent out of campus?

Kuna process fulani ulikuwa ukifuatilia wanakupa ruhusa kukaa nje ya chuo, ila si jambo rahisi kwani wao majengo ya hostel yamejengwa kwa mkopo na wanatarajia wewe ndio ulipe, so wakiruhusu hali hiyo hawataweza kurejesha deni, Kuhusu hizo process ni-pm nikupe uzoefu kidogo.
 
Wachache sana ambao wanaweza kufanya kitu kam hiki big up sana ase

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

vip daladala za kwenda college ya natural science?
 
sijaelewa direct cost kwa koz ya diproma in p. school kwa wanaoanza mwaka huu naomba kueleweshwa.
 
kuhusu issue ya kukaa "off-campus".
Hili suala lipo na linawezekana japo mchakato wake ni mkubwa kwa mwaka wa kwanza.
SABABU: Wanadai kuwa ili ukae off-campus ni lazima.
1.uandike barua rasmi kwa DEAN OF STUDENTS kwenye college yako husika ikipitia kwa BLOCK WADEN husika ktk block unaloishi.
2. barua hii huandikwa MWISHONI MWA SEMESTER YA MWISHO ya mwaka wako wa masomo i.e 1,2,3,e.t.c.
3. barua hii huambatana na SABABU zenye mashiko za kwa nini uruhusiwe kuishi nje ya chuo. Mfano KAMA ZILE ZILIZOELEZWA KWENYE STUDENTS BY-LAWS i.e mimba, mtoto mchanga, hali ngumu ya maisha(ushaidi uwepo),kuuguza, matatizo makubwa ya afya e.t.c.
N.B: HURUHUSIWI KUKAA KWA SEMESTER OFF-CAMPUS.
>HAUTOLIPA GHARAMA ZOZOTE ZA DIRECT COST mbal na hela ya bima ya afya na UDOSO.
 
COLLEGES zipo sita kama ifuatavyo:-
1. COED-walimu wote wa BED isipokuwa BAED na BSC(Ed).
2. COES-ma-engeneer wote wa resource za ardhi
3. CIVE- ma~engeneer wa computer.
4.CNMS-madaktari,matabibu,wa~takwimu pamoja na walimu wa BSC(Ed).
5. CHSS-sanaa na sayansi za jamii pamoja na walimu wa BAED.
N.B: CHSS ni colleges 2 kwa moja yaani college of humanities(CH) and college of social science(SS).
 
Mwaka wa kwanza mtafungua chuo tarehe.
18.10.2014 lipia nyumbani ada kukwepa usumbufu
 



Okay kwa hiyo social science and humanities hata sio mbali maana kupo pamoja
 
Hivi Dodoma kuna chuo kikuu? Kile chuo cha kujiuza kiko mkoa gani

Mkuu kuna majengo makubwa yako pale , ndani yake ni full sex ,hakuna elimu na watu wanapeana degree, masters na ph.Ds . Hicho ndicho watu wanaita UDOM
 

Kuitwa white university kunamaanisha hilo neno lenyewe, yaani hata graduates wanamaliza wakiwa weupe kama White university yao inavyojieleza
 

Watanzania at times ni wagumu kuelewa! By the time unapochukulia jamii forums kama only source of knowledge then utakuwa umetenda dhambi against logic! Data ulizotoa niseme ni statistical juggling which can not be verified on the ground! What if nina account zaidi ya moja, nizitaje? Next time exercise your mind thoroughly by thinking big!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…