Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

important ni kwamba kuhusu chakula: hapo ndipo utakapoona tofauti ya hz colleges sita.
nikianza na COED kwetu huko ndiko kjj cha Ng'ong'hona kilipo na ndiko wajasi weng wapo huko. Wajasi hawa wanalisha Education & Natural science, pamoja na Earth science & Informatics.
Tofaut iliyopo kat ya chakula cha wajasi na cha Cafeteria ipo kwny quantity and quality and safety.
Nenda ujasi upate quantity kubwa kuanzia Tsh. 1000 (wali nyama ndizi viazi mchicha MAJI) vyote kwa pamoja but kubali kuwa risk~taker wa "afya yako" na pia quality ndogo.
Nenda cafeteria upate quality kubwa but poor quantity chakula kuanzia Tsh. 1000 (wali maharage) basi na pia kubali kuwa risk~taker wa boom lako.
Kuhusu college ya Humanities na social(CHSS) wao wanategemea wajasi waliopo kjj cha Makuru nje kdogo but karibu na swimming pool ambao kwa idadi ya wanafunzi huwa hawatoshi maana xaa moja kamili tu ucku msosi huwa taabu. Huko nako huduma ni zile zile but huku quantity ya cafeteria na ujasi karibu sawa.
Kwa hyo ni hiyari yako kuchagua.
 
So it's risking Your Health and risking Your Money (choose one).
 
Tafadhali wadau waliofanikiwa kujiregister OLAS mbona kila nikiingiza mpesa code inanambia invalid transaction id tatizo nn msaada waungwana¤
 
i simply meant: eating meals at WAJASIRIAMALI Cafes may sometyms risk one's health in the sense that as we come from different places being accustomed to different habits and traditions as well...so in new exposure lyk that one can get lots of disorders... Ujac's meals are prepared under quality...poor washing of the vassals..
As it does also in risking money at indoor cafeteria...every one who enterz there wants to show~off...u may buy 1500 sh. meal, 1000 soft drink, and 500 water which all cost 3000 sh. per meal. If u make it ur habit...u will b using more than 8000 sh. amount of which exceeds a HESLB estimated money per day (i.e. 7500 sh.)
 
So it's risking Your Health and risking Your Money (choose one).

Mim Nmekula chakula cha wajasi huu mwaka wa tatu sasa, sijawai kupatwa na tatizo lolote la kiafya. Huyo ni muongo hata msimsikilize
 
i simply meant: eating meals at WAJASIRIAMALI Cafes may sometyms risk one's health in the sense that as we come from different places being accustomed to different habits and traditions as well...so in new exposure lyk that one can get lots of disorders... Ujac's meals are prepared under quality...poor washing of the vassals..
As it does also in risking money at indoor cafeteria...every one who enterz there wants to show~off...u may buy 1500 sh. meal, 1000 soft drink, and 500 water which all cost 3000 sh. per meal. If u make it ur habit...u will b using more than 8000 sh. amount of which exceeds a HESLB estimated money per day (i.e. 7500 sh.)

Wewe endelea kula cafeteria Baba sisi tutakula kwa wajasi tuone kama tutakufa.
 
Kijana penye hali tofauti ya kimaisha ni lazma uweke angalizo ili mtu anapoamua kufanya bhas achukue hatua za kujihadhari zikiwa ni pamoja na kuchagua sehemu gani ya kupata msosi.
Hapa ni lazma ukubaliane nami kuwa si wajasi wote wapo kwa maslahi yako...wengne wanaangalia ni kvp watapata hela...suala la afya na usafi ni juu yako.
FIRST YEAR: sipo hapa kuwatisha ama kunadi sera hapana kwan kati ya mtakaochaguliwa udom mliopo humu hata nusu ya idad yenu hamfiki badala yake nipo hapa kukupa ushauri wa bure na pind utakapo chaguliwa utayaona meng hata mengne cjakuambiane.
Kimsing suala la usafi wa mama ntilie ni suala ambalo linapigiwa kelele xana hata ktk mazngra tunayoishi...vivyo hvyo hapa chuoni.
Kuthibitisha haya yafuatayo ni baadhi ya "experiences" zangu tangu 2012 hadi leo:-
1.uongozi wa chuo unapiga vita vikali uuzaji wa vyakula ndan ya makaz ya wanafunzi-sababu ni usafi na usalama
2. kwa macho na mikono yango nimeshawahi kumwaga chakula cha ujac mara 2 kwa mjasi flan baada ya kugundua kuna "inzi"
 
Hata hvyo si wajasi wote wana hali kama hzo.
Kuna wajasi maarufu ambao wanaanda chakula ktk mazngra ya usafi kwa mfano wajasi wa (UDOM_COED) kuna huyu USTAADH(apo kuna kila kitu hadi chakula cha asili yaani mlenda(nkunungu kwa wale wahehe), mishkaki mingi, nyama za kutosha, ugali aina zote).
Kuna huyu MAMA AMOSI (huyu anapikia nyumban kwake kwa iyo mazngra yake ni mazuri kabisa).
Kuna huyu MAMA RAMA (naye ana huduma mzuri mfano nyama za kuku,tambi na kadhalika).
Kuna huyu MAMA MUSHI (apo kuna vyakula tele, wenyew tunapaita pa kushba 1000 inakupatia wali, nyama, viazi, mchicha, ndzi n.k)
Kuna hawa wajasi WESTGATE (apo pia kuna huduma poa).
Kuna UMMU mmoja(kwa waislamu) anapka chakula kizuri kwa imani yetu tunakula apo maana mh! Vitimoto vingi huko COED! dadangu huwa kila jumapili anatoka humanities anakuja kula vitimoto COED!
Kwa iyo ikumbukwe kuwa hawa waliotajwa apo ni wale ambao wanaanda vyakula vyao ktk mazngra salama.
Mtu akikuambia hajawahi kuumwa basi huwa anakulaga humo ama sehemu km hzo.
 
Back
Top Bottom