Sorry jamaa zangu Stand imesharudi Mjini TAFADHALINI SHUKENI STAND YA MKOA ni mjini kabisa hapo utapata usafiri wa kufika UDOM
Ila kwa mwaka huu sijui Registration ni nje ya UDOM maana kuna wakati
[*=1]Walifanyia Uwanja wa jamhuri baada ya Chuo kufungwa uokana na migomo
[*=1]Wakaja kufanyia uwanja wa Relways njia ya UDOM baada ya DUWASA
sasa angalia Joining Instruction yako itakuonesha ni wapi pa kujisajili
Hii Mada ilikuwa ya 2012 leo tupo Oktoba 2013