Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Mkuu inabd uwaambie na mablock mazuri ya kukaa hasa kwa wanaeducation, kwani kuna wakati wa ileee taabu ya maji, kufata maji block moja hadi nyingine wakati block zingine maji yanatoka hadi bafuni.
 
Sorry jamaa zangu Stand imesharudi Mjini TAFADHALINI SHUKENI STAND YA MKOA ni mjini kabisa hapo utapata usafiri wa kufika UDOM
Ila kwa mwaka huu sijui Registration ni nje ya UDOM maana kuna wakati

  • [*=1]Walifanyia Uwanja wa jamhuri baada ya Chuo kufungwa uokana na migomo
    [*=1]Wakaja kufanyia uwanja wa Relways njia ya UDOM baada ya DUWASA
sasa angalia Joining Instruction yako itakuonesha ni wapi pa kujisajili​
Hii Mada ilikuwa ya 2012 leo tupo Oktoba 2013

Thanks in advance
 
hembu acheni kudanganyana udom ni chuo majengo!!! kama yule lecture wenu anayeitwa madam suzy anayekagua hadi viatu akija darasani badala ya kufundisha ...maji majanga ..usafir saa mbili hamna, walinz wanawakamata wanafunz kisa nguo fup au zimebana!!! udom kimepoteza cfa ni kama kampala international university(KIU).

Af we acha ujinga sa kama UDOM majengo mbona kuna wanafunz,malecture na wafanyakazi wa chuo mi naona wivu unakusumbua maana ukisikia UDOM unapata jazba na presha hhahhahahahahahahahahahahaha ....
 
namba 8 ckubalian nayo, jeans ziwez acha nyumban,na kila m2 ana uhuru wa mavaz ila acvuke mpaka.
 
Af we acha ujinga sa kama UDOM majengo mbona kuna wanafunz,malecture na wafanyakazi wa chuo mi naona wivu unakusumbua maana ukisikia UDOM unapata jazba na presha hhahhahahahahahahahahahahaha ....

Huu ugonjwa unaoitwa wivu ni vigumu sana KUTIBIKA
 
Leo hali ikoje kwa walioanza kuripoti. Wapeni taarifa hata ambao hawajaripoti ili wajiandae vizuri
 
Athuman Ramadhan Kanju > ILBOYZ
HIGH XL 2013
jamani mbona udom ex-ilborian (class
of 2013) niko peke yang-ina maana
hki chuo hamkipendi au imekuwaje!
6 hours ago
Like · Comment · Follow Post
Hide story
 
DUH! mkuu ume ni impress had machozi yakanilengalenga. yaani wewe ni bonge la mtanzania halisi. Tukiwa wote kama wewe maisha yatakuwa ya raha sana Tanzania
 
Nauli sasa ni mia 450. Kama huna 50 kama chenchi watakwambia hatuna chench,, mwisho wa cku unaiacha
 
Athuman Ramadhan Kanju > ILBOYZ
HIGH XL 2013
jamani mbona udom ex-ilborian (class
of 2013) niko peke yang-ina maana
hki chuo hamkipendi au imekuwaje!
6 hours ago
Like · Comment · Follow Post
Hide story

kwani Udom ni Ilboru??
 
DUH! mkuu ume ni impress had machozi yakanilengalenga. yaani wewe ni bonge la mtanzania halisi. Tukiwa wote kama wewe maisha yatakuwa ya raha sana Tanzania

Mungu atasaidia wengi tukajaribu kuwa kama hivi.
 
Back
Top Bottom