Vipi kuhusu hali ya usafi, kila mtu atajitegemea vifaa vyake au la?? na pia mabafu na vyoo vimekaaje?
je vp kuhus boom[mkopo] unatolewa mkifika chuo? kama ndio unalazimika kuja na hela ya fees, accommodation,registration na za other expenses coz hutakuwa ujapewa hilo boom, wamesema mwisho wa kulipa hizo niaje ni 31 sept
kwa kweli kama kuna jambo la kusikitisha ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Nendeni na akiba ya kutosha kwani suala la book ni mchakato mrefu. Mwaka wa kwanza wanateseka sana kwa sababu ya urasimu. Pia kuna utaratibu wa kusaini fedha za bodi kabla ya kuzipata, hata hivyo hili hufanyika sana kwa wanaoendelea. Hii wakati mwingine inasababishwa na kuchaguliwa mara mbili kwa mwanachuo mmoja hivyo mpaka confirmation ya kuwa umedahiliwa chuo kipi ifanyike. Mambo ni mengio kwa mkopo wa mwaka wa kwanza, Chukua tahadhari na uende na akiba ya kutosha. Zoezi la malipo ni vema ulifanyie ukiwa nyumbani kwenu. Dodoma hali za benki hasa CRDB inakuwa mbaya sana. Ushauri tu ni kuwa juu ya kila paying slip andika jina lako ukianza na surname, mwaka wako na namba ya usajili na degree program yako. pia usisahau kupiga photocopy ya kila document yako. Hii utaiona umuhimu wake endapo utapoteza hizo na pia unaweza kuibiwa paying slip isiyo na jina.
Malipo ya chuo hayategemeani na boom lako kwani hujaingia mkataba na chuo kuhusu fedha, makataba wako umeingia na Bodi. Kama unategemea fedha ya bodi ulipe expenses nyingine utapata shida. We lipia accomodation yao, pamoja na vitu vingine. fees utaitoa kulingana na bodi wanavyokujali.kuhusu 31 sept nimekupm
dah kaz ipo ok thax mankwa kweli kama kuna jambo la kusikitisha ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Nendeni na akiba ya kutosha kwani suala la book ni mchakato mrefu. Mwaka wa kwanza wanateseka sana kwa sababu ya urasimu. Pia kuna utaratibu wa kusaini fedha za bodi kabla ya kuzipata, hata hivyo hili hufanyika sana kwa wanaoendelea. Hii wakati mwingine inasababishwa na kuchaguliwa mara mbili kwa mwanachuo mmoja hivyo mpaka confirmation ya kuwa umedahiliwa chuo kipi ifanyike. Mambo ni mengio kwa mkopo wa mwaka wa kwanza, Chukua tahadhari na uende na akiba ya kutosha. Zoezi la malipo ni vema ulifanyie ukiwa nyumbani kwenu. Dodoma hali za benki hasa CRDB inakuwa mbaya sana. Ushauri tu ni kuwa juu ya kila paying slip andika jina lako ukianza na surname, mwaka wako na namba ya usajili na degree program yako. pia usisahau kupiga photocopy ya kila document yako. Hii utaiona umuhimu wake endapo utapoteza hizo na pia unaweza kuibiwa paying slip isiyo na jina.
Malipo ya chuo hayategemeani na boom lako kwani hujaingia mkataba na chuo kuhusu fedha, makataba wako umeingia na Bodi. Kama unategemea fedha ya bodi ulipe expenses nyingine utapata shida. We lipia accomodation yao, pamoja na vitu vingine. fees utaitoa kulingana na bodi wanavyokujali.kuhusu 31 sept nimekupm
Mkuu MAKOLE kama ukipata Mkopo bado kunahaja ya kulipia vile vilivyo orozeshwa au kuna baadhi itakua nijuu ya HESLB kama vile Accommodation?
Accomodation utalipa wewe. Kitu kinachoitwa Direct cost hiyo unalipa wewe, ila tuition fee ni juu ya bodi.
Accomodation utalipa wewe. Kitu kinachoitwa Direct cost hiyo unalipa wewe, ila tuition fee ni juu ya bodi.
Nimelitia FAQ ya HESLB na huona swali hili
Qn. What items are financed under the loans?
Ans. The Higher Education Students Loans Board Act No. 9 of 2004, specifies loanable items as
follows:
1. Meals and accommodation charges
2. Books and stationery expenses
3. Special faculty requirements
4. Field practical training expenses
5. Research expenses; and
6. Tuition fees
Naona kama item1 imeinclude accommodation, au ndo MAMBO YETU YALEEEE yanafanyika???
We lipia, kama wanatoa bodi si utaikuta humo. Hayo yote ya bodi kama unasoma education item namba 1,2,4,,6, vipo. Research kwa waliotangulia haikuwepo. labda nyie mwendao mwaka huu yaweza kuwepo
We lipia, kama wanatoa bodi si utaikuta humo. Hayo yote ya bodi kama unasoma education item namba 1,2,4,,6, vipo. Research kwa waliotangulia haikuwepo. labda nyie mwendao mwaka huu yaweza kuwepo
hii ni mwaka mzima wa masomo, I mean semester mbili, kwa siku usingizi mnaulipia jero tu!.Na kwenye tangazo lao wamesema wiki ya pili october watu wawe wameshafika. So ina maana kuanzia tarehe 8 mpaka 14 au ni vp? Na kwenye accomodation wameweka siku 245 kwa cost ya sh 122500 so ina maana cost hii ni kwa mwaka mzima wa masomo au ni vp coz siku 245 ni sawa na miez 8 kama sijakosea coz hisabu haipandi
Na kwenye tangazo lao wamesema wiki ya pili october watu wawe wameshafika. So ina maana kuanzia tarehe 8 mpaka 14 au ni vp? Na kwenye accomodation wameweka siku 245 kwa cost ya sh 122500 so ina maana cost hii ni kwa mwaka mzima wa masomo au ni vp coz siku 245 ni sawa na miez 8 kama sijakosea coz hisabu haipandi
Eti makole mi nimesoma arts na nimechaguliwa BED-ICT watu wananiambia hii ni coz ya sayans huku mtaan je ni kwel?calculatio hapo zipo za ukwel?je ntaitajika kubadilisha?naomba msaada