Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Mkuu MAKOLE vipi kuhusu suala la dress code kwa ujumla kuanzia hostel hadi lecture rooms, je pens,raba na open shoes a.k.a masai.

Ukiwa class baadhi ya college na baadhi ya wahadhiri hawataki kuona pens wala kapelo. Masai na open shoes ruksa ila ndala mimi sijawahi kuziona na mwenyewe pia huwezi kuvaa ndala kwenye mihadhara na semina. Kwa hostel vaa chochote uwezacho, sio issue. Ila kwa Social usivae hovyo popote pale, ukikutwa ni msala. Dressing code labda wafanye kutoa general ila kwa sasa kila college inazo taratibu zake. Wakati mwingine hata kwenye Pepa au test ukikutwa na pensi wanakusepesha. Kwa Coed, ni marufuku kuvaa t shirt zenye maandishi ukiwa library, na wanawake walikuwa wanazuiwa kuvaa suruali hasa za jeans ukiwa library. Hta hivyo utaratibu huu kwa coed ni mgeni kwa kuwa waliuanzisha mwishoni mwa semesta iliyopita. Nadhani umenielewa mkuu .
 
MAKOLE eti ni kweli wireles internet inapatikana had maeneo ya hoshel[ndan ya hostel] and vp kuhus people walifany fresh wanabakishwa kufundish hapo?

Wireless ipo kwa maeneo flani tu. Sijajua kwa social sciense, humanities na informatics kama wireless ni mpaka hostel. ila najua madarasa ya info wanayo network ila nahisi ni Cabble. Kwa coed ni Library tu wanatumia wireless ila kwenye theaters tu ni cabble. Hata hivyo huwezi kujua, yawezekana wamesharekebisha.
 
Ukiwa class baadhi ya college na baadhi ya wahadhiri hawataki kuona pens wala kapelo. Masai na open shoes ruksa ila ndala mimi sijawahi kuziona na mwenyewe pia huwezi kuvaa ndala kwenye mihadhara na semina. Kwa hostel vaa chochote uwezacho, sio issue. Ila kwa Social usivae hovyo popote pale, ukikutwa ni msala. Dressing code labda wafanye kutoa general ila kwa sasa kila college inazo taratibu zake. Wakati mwingine hata kwenye Pepa au test ukikutwa na pensi wanakusepesha. Kwa Coed, ni marufuku kuvaa t shirt zenye maandishi ukiwa library, na wanawake walikuwa wanazuiwa kuvaa suruali hasa za jeans ukiwa library. Hta hivyo utaratibu huu kwa coed ni mgeni kwa kuwa waliuanzisha mwishoni mwa semesta iliyopita. Nadhani umenielewa mkuu .

nime kuelewa ipasavyo mkuu thanks a lot, Mungu akujalie mafanikio zaidi. nikipata BOOM ntakugawia kidogo hata ya vocha kwa kupoteza muda wako ili kutusaidia
 
Makole tunashukuru kwa kutupa feedback za hik chuo,ila ningependa kujua et hii coz ya mining engneering inamdagan tangu ianzishwe hapo chuon na sisi tunaoichukua tutafkia wapo tutakapo fika chuon?naje et maprincples huwa wanaishi maeneo ya chuo au mbal na chuo?nisaidie kaka.
 
Wakuu wa College hawaishi ndani ya campus, asilimia kubwa ya wafanyakazi wa UDOM wanaishi maeneo ya Kisasa, pale zipo nyumba za serikali ambazo walijenga kwa ajili ya wabunge. Ingawa nilisikia habari kwamba serikali ilishauza nyumba zile. College hii ilianza 1/7/2011, ni miongoni mwa college changa. Kulikuwa na mpango wa chuo na wizara ya Madini kukihuisha chuo cha madini kiwe sehemu ya chuo kikuu Dodoma, sijajua wamefikia wapi.

Kwa sasa wanaosoma program hiyo wanaishi College of Education, itakulazimu usafiri kwenda college of Ed, unless kama utaelekezwa vinginevyo. Hata hivyo, College yako inaitwa college of earth science na ndani yake ipo school of mining and petrolium engineering na school of enviromental science and tech. Kwa taarifa zaidi juu ya college yako pitia (College of Earth Science), hii ni website ya college yako. Majengo ya college hii mpaka mwishoni mwa 2011/2012 yalikuwa hayajakamilika ingawa hata yakikamilika bado hawatakuwa na hostel, itawapasa kuishi eidha education au informatics.
 
Samahan kaka makole naomba unipe website ya Coed kama ipo niweze kupitia mambo fulan
 
so ata room mate mnapangwa;;;no choice;;;;;;;

Unaweza kuchagua kukaa na mwenzako, ingawa ni lazima muwe college moja, ila si lazima muwe program moja. Ukiwahi uende kwenye block ulilopangiwa sasa hapo maongezi na mawarden yanahitajika. Hatakubali hivihivi hadi umchomee hindi kidogo ( nadhani unaelewa maana ya kuchoma hindi)
 
kontena la mama kikwete, uwe muwazi makole, wanafunzi full kusex, full kuoana, full kuachana, full kuumizana moyo, wengine pombe, watu bwana, kuna wakati wajasi walikuwa wakiokota mizoga vichakani. wanaaboti wanaambiwa kwa kutupa hakuna bebeni. Udom kwa asieyeijua ataisikia ni chuo kikuu kikubwa na pale kilipo bado sana.

Makole toa ushauri hapo, nimependa jinsi unavyo asa jamii kizazi kipya udom, na jinsi unavyofloo hata mimi nimeshindwa.. Wewe unafaa kuwa kiongozi...na mungu atakuona mkuu
 
ha ha, mi nitamchomea sema kipande tu, sio hindi zima!
 
Makole, hivi ATM's zipo karibu na colleges au ndo mpaka kitu cha mjini?
 
Makole, hivi ATM's zipo karibu na colleges au ndo mpaka kitu cha mjini?

Kila college inazo ATM za NMB na CRDB, aidha, kuna sehemu zipo bank yz CRDB ikiwa na full operation na nmb ndo wanakamilisha jengo lao, huenda tayari linafanya kazi. Mara kwa mara benk za mjini wanagoma kuhudumia wanachuo kwa madai kuwa wakafanye transaction chuoni.
 
kontena la mama kikwete, uwe muwazi makole, wanafunzi full kusex, full kuoana, full kuachana, full kuumizana moyo, wengine pombe, watu bwana, kuna wakati wajasi walikuwa wakiokota mizoga vichakani. wanaaboti wanaambiwa kwa kutupa hakuna bebeni. Udom kwa asieyeijua ataisikia ni chuo kikuu kikubwa na pale kilipo bado sana.

Makole toa ushauri hapo, nimependa jinsi unavyo asa jamii kizazi kipya udom, na jinsi unavyofloo hata mimi nimeshindwa.. Wewe unafaa kuwa kiongozi...na mungu atakuona mkuu

Hahahaaaa Mansa, ungewaeleza wewe Kontena linakuwaje bwana: WanaUdom wapya, yasemekana na yaaminika kuwa kuna utaratibu wa Kusomeshwa wanawake wenye kuathirika na HIV/AIDS, hii ni program ambayo kwa vyuoni sio siri, wanatahadharisha mpaka kwenye orientation mtaelezwa hili. Tatizo ni kwamba watu hawa huwa hawatambulishwi, mnaambiwa tu idadi yao kwa mwaka husika. Sifahamu kwa vyuo vingine ila kuna mwaka fulani waliletwa 500 kwa idadi yao, watu hawa nasikia kuwa mbali na pesa ya bodi, wanapewa pesa mingi kwa ajili ya matumizi, sasa kwa vile wanae pesa, wanakula, starehe mingi, wanahonga, wengine hadi magari wanamiliki. wewe mwanamume ukijichanganya utalishwa na utavishwa lakini mwisho wa siku ndo kama vile. Yasemekana eti hii project inaendeshwa na First Lady, hivyo wanaliita kontena la mama salma. Hatujui zaidi ya hapo.
 
MAKOLE kama hujamaliza omba uongozi, uendeshe forum hapo udom, utasadia sana UMMA

Aksante sana Mansa kwa kuniombea mema, nasikitika sana kwa sasa sipo tena hapo UDOM, Ningefuata ushauri wako kama walau ningeendelea kuwepo hapo
 
Kila college inazo ATM za NMB na CRDB, aidha, kuna sehemu zipo bank yz CRDB ikiwa na full operation na nmb ndo wanakamilisha jengo lao, huenda tayari linafanya kazi. Mara kwa mara benk za mjini wanagoma kuhudumia wanachuo kwa madai kuwa wakafanye transaction chuoni.

kwa hiyo kwa ambao hatuna account tunaweza kufungulia ndan ya chuo bila kwenda town?
 
kwa hiyo kwa ambao hatuna account tunaweza kufungulia ndan ya chuo bila kwenda town?

Kama unaweza fungua account popote ulipo tena CRDB, hiyo kwa bodi ndiyo nzuri, Wakati huo ukifika chuo kuna mishe nyingi na hata benk zitakuwa bize. kufungua account huko itakupa shida.
 
Back
Top Bottom