Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Vipi kuhusu hali ya usafi, kila mtu atajitegemea vifaa vyake au la?? na pia mabafu na vyoo vimekaaje?

usafi unaokuhusu wewe ni kufua na chumba tu, kwingine ni juu ya chuo. vyoo mabafu full kisasa ingawa kuna sehemu vifaa vya kichuina vinaharibu
 
je vp kuhus boom[mkopo] unatolewa mkifika chuo? kama ndio unalazimika kuja na hela ya fees, accommodation,registration na za other expenses coz hutakuwa ujapewa hilo boom, wamesema mwisho wa kulipa hizo niaje ni 31 sept

kwa kweli kama kuna jambo la kusikitisha ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Nendeni na akiba ya kutosha kwani suala la book ni mchakato mrefu. Mwaka wa kwanza wanateseka sana kwa sababu ya urasimu. Pia kuna utaratibu wa kusaini fedha za bodi kabla ya kuzipata, hata hivyo hili hufanyika sana kwa wanaoendelea. Hii wakati mwingine inasababishwa na kuchaguliwa mara mbili kwa mwanachuo mmoja hivyo mpaka confirmation ya kuwa umedahiliwa chuo kipi ifanyike. Mambo ni mengio kwa mkopo wa mwaka wa kwanza, Chukua tahadhari na uende na akiba ya kutosha. Zoezi la malipo ni vema ulifanyie ukiwa nyumbani kwenu. Dodoma hali za benki hasa CRDB inakuwa mbaya sana. Ushauri tu ni kuwa juu ya kila paying slip andika jina lako ukianza na surname, mwaka wako na namba ya usajili na degree program yako. pia usisahau kupiga photocopy ya kila document yako. Hii utaiona umuhimu wake endapo utapoteza hizo na pia unaweza kuibiwa paying slip isiyo na jina.

Malipo ya chuo hayategemeani na boom lako kwani hujaingia mkataba na chuo kuhusu fedha, makataba wako umeingia na Bodi. Kama unategemea fedha ya bodi ulipe expenses nyingine utapata shida. We lipia accomodation yao, pamoja na vitu vingine. fees utaitoa kulingana na bodi wanavyokujali.kuhusu 31 sept nimekupm
 
Mkuu MAKOLE kama ukipata Mkopo bado kunahaja ya kulipia vile vilivyo orozeshwa au kuna baadhi itakua nijuu ya HESLB kama vile Accommodation?
 
dah kaz ipo ok thax man
 
Mkuu MAKOLE kama ukipata Mkopo bado kunahaja ya kulipia vile vilivyo orozeshwa au kuna baadhi itakua nijuu ya HESLB kama vile Accommodation?

Accomodation utalipa wewe. Kitu kinachoitwa Direct cost hiyo unalipa wewe, ila tuition fee ni juu ya bodi.
 
Wazee msiogope ndogu zangu maana naona watu wamepanic. Mambo sio magumu kiasi hicho kwa sababu Watu wanayamudu. shida ni wiki ya kwanza tu na jitahidi kudoupe fasta na mazingira. Kuna wanaokimbia ndani ya wiki ya kwanza tu but usikubali kushindwa kirahisi hivyo
 
Accomodation utalipa wewe. Kitu kinachoitwa Direct cost hiyo unalipa wewe, ila tuition fee ni juu ya bodi.

Nimelitia FAQ ya HESLB na huona swali hili
Qn. What items are financed under the loans?
Ans. The Higher Education Students Loans Board Act No. 9 of 2004, specifies loanable items as
follows:
1. Meals and accommodation charges
2. Books and stationery expenses
3. Special faculty requirements
4. Field practical training expenses
5. Research expenses; and
6. Tuition fees

Naona kama item1 imeinclude accommodation, au ndo MAMBO YETU YALEEEE yanafanyika???
 
We lipia, kama wanatoa bodi si utaikuta humo. Hayo yote ya bodi kama unasoma education item namba 1,2,4,,6, vipo. Research kwa waliotangulia haikuwepo. labda nyie mwendao mwaka huu yaweza kuwepo
 
So nikilipia hata tuition fee kama nina mkopo wataniludishia fedha yangu??
 
We lipia, kama wanatoa bodi si utaikuta humo. Hayo yote ya bodi kama unasoma education item namba 1,2,4,,6, vipo. Research kwa waliotangulia haikuwepo. labda nyie mwendao mwaka huu yaweza kuwepo

Na kwenye tangazo lao wamesema wiki ya pili october watu wawe wameshafika. So ina maana kuanzia tarehe 8 mpaka 14 au ni vp? Na kwenye accomodation wameweka siku 245 kwa cost ya sh 122500 so ina maana cost hii ni kwa mwaka mzima wa masomo au ni vp coz siku 245 ni sawa na miez 8 kama sijakosea coz hisabu haipandi
 
hii ni mwaka mzima wa masomo, I mean semester mbili, kwa siku usingizi mnaulipia jero tu!.
 
Eti makole mi nimesoma arts na nimechaguliwa BED-ICT watu wananiambia hii ni coz ya sayans huku mtaan je ni kwel?calculatio hapo zipo za ukwel?je ntaitajika kubadilisha?naomba msaada
 
mnisaidie kwa hili,payment tunaanza kulipa trh 15 hadi 30 september,je ni hyo trh 30 sptmber tunatakiwa kuripoti?
 
Na kwenye tangazo lao wamesema wiki ya pili october watu wawe wameshafika. So ina maana kuanzia tarehe 8 mpaka 14 au ni vp? Na kwenye accomodation wameweka siku 245 kwa cost ya sh 122500 so ina maana cost hii ni kwa mwaka mzima wa masomo au ni vp coz siku 245 ni sawa na miez 8 kama sijakosea coz hisabu haipandi

Hiyo ni mwaka wa masomo mzima. Ki msingi walitakiwa watoe tamko la orientation course na ndiyo ingeamua kuwa mnaripoti lini. ni kawaida kuwa beginners wanatangulia wiki moja kabla ya wanaoendelea na chuo. Hiyo accommodation gawanya kwa mbili ndo ya 1st semista. Nafikiri waweza kulipa yote au nusu yake
 
Eti makole mi nimesoma arts na nimechaguliwa BED-ICT watu wananiambia hii ni coz ya sayans huku mtaan je ni kwel?calculatio hapo zipo za ukwel?je ntaitajika kubadilisha?naomba msaada

Hakuna kitu kama hicho, nenda kapige shule. Ingekuwa ya sayansi hiyo BED ingeondoka na ungekuwa Informatics. Wako ma HKL kibao wanakula BED ICT mkubwa. Don give up
 
Back
Top Bottom