Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,279
Reaction score
13,707
Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.

Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa GPA so ukiwa nayo nzuri itakusadia. Mfano mzuri ni BOT wametangaza kazi 83 mostly wanataka watu wenye Upper second kwa hiyo GPA ina umuhimu pia bank kama CRDB nao wana ajiri kwa kuzingatia sana GPA.

Najua wapo wanaosema GPA si chochote lakini niamini mimi inachukua miaka 3,4 hadi 5 kutengeneza GPA it depends na unachosomea lakini skills are easly learned tena nyinyi wa sasa mna bahati kwa sababu mna learning material sehemu mbalimbali kama Udemy unaweza kusomea skill yoyote kwa muda mfupi lakini baada ya kumaliza Chuo its hard wewe kurekebisha GPA yako kwa sababu pia ni costfull hivyo kama hujamaliza pambana sana uwe na ufaulu mzuri.

Kwa Population ya sasa hakuna Taasis Makini eti ikaacha mtu aliyepata GPA ya 4.0 akakuchukua wewe mjinga mwenye Pass au GPA ya 2.0 hakuna kwa sababu kwa maoni yangu naona uzingatiaji wa masomo una uhusiano moja kwa moja katika kukamilisha kazi za watu utazokua unapewa na waajiri wako Low GPA inaonesha Uzembe/Uvivu au kutozingatia maelekezo ya Wahadhiri.

Kingine mjiamini unaweza kupata kazi taasis yoyote bila kusaidiwa na mtu yoyote jiandae vizuri kwa kila usaili hakika Utafanikiwa.

NB: Andiko hili linawahusu wadogo zangu ambao bado hamjamaliza vyuo na mnatarajia kuingia katika soko ya ajira GPA nzuri/Kubwa inahusika Kwa wale makonkodi ambao mmeshaharibu sina remedy yoyote mnaweza kupita kushoto.
 
Kweli kabisa..
Ila pia kingine GPA kali inaweza kufanya ukabaki chuo kama lecture kabisa hivo wapambane sana hakuna ugumu kabisa wa kushindwa kupata GPA ya 4 na kuendelea..

Hasa hawa wa afya ndo kabisa nyie sio wa kushindwa kutoka na GPA ya 4 n point zake huko.
🙏🙏🙏🙏🙏
 
😂😂😂 Yaani baada ya kutoka CIVE ndo umetambua kuwa GPA Kali ni muhimu!

Kweli kenge hasikii hadi damu umtoke kwa masikio.
 
Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.

Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa GPA so ukiwa nayo nzuri itakusadia. Mfano mzuri ni BOT wametangaza kazi 83 mostly wanataka watu wenye Upper second kwa hiyo GPA ina umuhimu pia bank kama CRDB nao wana ajiri kwa kuzingatia sana GPA.

Najua wapo wanaosema GPA si chochote lakini niamini mimi inachukua miaka 3,4 hadi 5 kutengeneza GPA it depends na unachosomea lakini skills are easly learned tena nyinyi wa sasa mna bahati kwa sababu mna learning material sehemu mbalimbali kama Udemy unaweza kusomea skill yoyote kwa muda mfupi lakini baada ya kumaliza Chuo its hard wewe kurekebisha GPA yako kwa sababu pia ni costfull hivyo kama hujamaliza pambana sana uwe na ufaulu mzuri.

Kwa Population ya sasa hakuna Taasis Makini eti ikaacha mtu aliyepata GPA ya 4.0 akakuchukua wewe mjinga mwenye Pass au GPA ya 2.0 hakuna kwa sababu kwa maoni yangu naona uzingatiaji wa masomo una uhusiano moja kwa moja katika kukamilisha kazi za watu utazokua unapewa na waajiri wako Low GPA inaonesha Uzembe/Uvivu au kutozingatia maelekezo ya Wahadhiri.

Kingine mjiamini unaweza kupata kazi taasis yoyote bila kusaidiwa na mtu yoyote jiandae vizuri kwa kila usaili hakika Utafanikiwa.

NB: Andiko hili linawahusu wadogo zangu ambao bado hamjamaliza vyuo na mnatarajia katika soko ya ajira GPA nzuri/Kubwa inahusika Kwa wale makonkodi ambao mmeshaharibu sina remedy yoyote mnaweza kupita kushoto.

Hongera sana
 
GPA sio kwaajili tu ya ajira za kuwa lecturer au mashirika makubwa yaliyo strict kwenye GPA.

GPA itakufungulia milango mingi, mfano siku hizi ajira nyingi watu wanatuma maombi kwa kuambatanisha gpa, shirika linaeza kuona waombaji ni wengi sana hivyo wakawapunguza kwa kuwachuja kwa gpa za kuania 3.8

Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma.

Mengine ni bahati, connections na kudra. ajira ni chache lazima wabaki watu mtaani, hivyo jiongeze pia kwenye taaluma nyinginezo zikubebe utakapokosa ajira.
 
😂😂😂 Yaani baada ya kutoka CIVE ndo umetambua kuwa GPA Kali ni muhimu!

Kweli kenge hasikii hadi damu umtokeke kwa masikio.
Pale cive kupata GPA kali sio kazi ndogo.
yaani maana yake wewe upige msuri as if upo advance....

Alafu mkuu kuna sisi walitudanganya tukavamia course tukijua hakuna mathematics kumbe daaaah acha tuu
 
Ni kweli kabisa GPA ina "matter", lakini GPA pia inatokana umesoma nini na wapi! PSPA ya UDSM huwezi fananisha na BVM ya SUA.

Mtu kasoma CDTI Tengeru, Community Development anashindwa vipi kupata GPA kali?
 
Back
Top Bottom