Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,876
- 2,654
Kwi kwi kwi kwi!
Jidanganye kwa kucheka, lakini alichosema hapo juu ndo ukweli ingawa mchungu.
Pili hata huyu rais na makamu wake si ni wakristo eeeh eti...!
Kwi kwi kwi kwi!
Teh teh teh! Kwi kwi kwi! Msamehe huyu punguani.Nimeaga kwa nani? Kuaga kuna wakilishwa na msamiati gani?
Nikuage hapa JF nimekuja kwako? nipotee umenielekeza wewe kuja JF?
Huwa sina kawaida wala mazoea ya kusalimu amri kwa wapuuzi....
Muda hauchukiliwi bali unatumiwa....
Kima Kama wewe unaewaza kula na kunya tu na ambae fikra zako hazivuki nyayo za miguu yako kamwe siwezi salimu amri mbele yako.
nimenukuu biblia inavyosema sikutia neno langu, soma vizuri please
Teh teh teh! Kwi kwi kwi! Msamehe huyu punguani.
Labda tusaidie kwenye mauaji ya Rwanda kwa nini Maaskofu wamefungwa na Kanisa Katoliki likaomba msamaha kwa nini Masheikh hawamo?
Dina,
Hapa hutoweza kuelewa chochote.
Kitafute kitabu changu, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924
- 1968)The Untold Story of the Muslim Struggle Against British
Colonialism in Tanganyika," Minerva Press, London 1998.
Sehemu ya Tatu ya kitabu inaitwa: "Conspiracy Against Islam."
Hapa ndipo kuna mengi na ukimaliza yote yanayotokea leo utayajua.
Utajua vipi Kanisa na Serikali zinavyofanya kazi kwa ushirikiano wa karibu.
Utajua kwa nini mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika hawatajwi.
Utajua kwa nini BAKWATA imesuswa na Waislam lakini Serikali haikubali
ukweli kuwa BAKWATA haimuwakilishi yeyote ila wenyewe.
Utajua, utajua, utajua...
Utajua kwa nini Wizara ya Elimu, NECTA haiwezi kuachiwa Waislam wakaingia.
Utajua kwa nini Prof. Malima hakudumu Wizara ya Elimu.
Unajua kila aliyejaribu kuleta suala la Waislam katika Bunge hakurudi bungeni?
Kitwana Kondo, Manju Msambya...
Sheikh Abubakar Mwilima alileta suala hili Kamati Kuu ya CCM na huo ndiyo
ukawa mwisho wake...
Sheikh Hassan bin Amir na Tewa Said Tewa walitaka kujenga Chuo Kikuu mwaka
1968 kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS)...
Unaujua mwisho wao?
Mengi, mengi, mengi yatakufunukia.
Utajua ni vipi Kanisa linaweza kupewa Bilioni 91 kila mwaka na isiwe chochote.
Utajua kwa nini Sheikh Ponda alipojaribu kurejesha Wakfu (Mali ya Allah) kwa
Waislam kwa kutaka kujenga msikiti alioupa jina Masjid Hassan bin Amir
yamemkuta yaliyomfika...
Nikuulize.
Unaujua mchango wa Sheikh Hassan bin Amir katika uhuru wa Tangayika?
Unajua Sheikh Hassan bin Amir alikuwa nani katika kupigania uhuru wa
Tanganyika?
Unajua kwa nini Sheikh Ponda alipenda kuupa jina la ule msikiti jina la
Sheikh Hassan bin Amir?
Hata viongozi wa BAKWATA hawathubutu kulitaja jina hili na ndimi zao.
Wanaogopa kama wanavyoogopa wanasiasa wa sasa.
Unajua kuna ''Award ya Sheikh Hassan bin Amir," inatolewa kila mwaka
kwa vijana wa Kiislam masikini lakini wana uwezo mkubwa wa masomo?
Jiulize huyu Sheikh Hassan bin Amir alikuwa nani...?
Tumalizie hapa.
Dina,
Huenda ukastaajabu ukanishangaa mimi kwa jibu nitakalokupa.
Serikali na Kanisa hawawezi kukubali kuona Waislam wanajioganaizi wenyewe
nje ya BAKWATA.
Huko nyuma juhudi nyingi zilishafanywa lakini kizingiti ni hizo taasisi mbili.
Ushahidi upo ukitaka nitakuwekea In Sha Allah.
Waislam wanaamini Ukihukumiwa na Mahakama ya kadhi(sheria asilia za kiarabu) unakwenda peponi
Ukisema utafute monetary value ya service ambazo kanisa linaprovide inabidi wawe wanapewa billion 500 kila mwaka.na nyinyi vibarakashia kazi kujenga madrasa na kung'ang'ania upuuzi.
Mimi ni muislamu ila hapo nakusifu ushauri yako nzuri na mahakama ya kadhi sitaki ije hapa haitakua na kazi ,zaidi ya kutangaza mwezi.
Kwa maelezo kama haya Waislamu au Uislamu hautaweza kabisa kujinasua na matatizo yao au yake. Yaonekana bado adui wa uislamu hajulikani. Serikali ni nani? Rais Mwinyi alikuwa muislamu. alifanya mengi kuhusu uislamu inagwa ni yale yale yasiyomuendeleza waislamu wenzake. Magomeni wakapewa eneo la wazi kujenga musikiti, ukajengwa ukapambwa na baadaye sasa ni maduka ya bidahaa za kichina yanazunguka musikiti, Mwembechai wakapewa eneo la shule ya msingi, wakaishia kujenga kituo cha mafuta.
Sijawahi kuona dini ya maana ktk ukristu ikihangaika kutafuta kiwanja kariakoo, ili ijenge kanisa. Hata mzee wa upako naye yuko riverside. Amekuja Mrisho naye ana yake. Anafurahiwa na akina Faiza kwa kuwapa nafasi. Je isingekuwa vizuri kuhangaikia taasisi za kiislamu badala ya kuhangaika na waislamu wanaotaka vyeo? Najaribu kuwasoaidia mawazo tu maana ikija kwa watu waliopewa au kupendelewa vyeo, Mrisho anapewa dole, juu ya taasisi hakuna anayesema hafai badala yake ukristu unalaaniwa kwa hilo.
Kama ni kweli basi tumulaani rais kwa kushindwa kuipa nguvu BAKWATA au kwa kushindwa kuwapa waislamu nguvu sijui naye atafanya nini ili wapate nguvu?
We muislamu mwenzangu kipi ambacho hujaelewa kwenye huo ushauri tuliopewa? Acha ufia dini jibu fact, weka point hizo hela wanapewa na nani ? Factor ni elimu, afya na mahakama ulitakiwa uelezee kipi sisi kama waislamu tunatakiwa tupiganie sio unalalamika tu,
Sisi waislamu wala hatuiitaji hiyo mahakama sijui wakina nani wanataka kutuharibia uislamu wetu, mpaka kuna muda huwa nashangaa hizi mada zinatoka wapi coz hata Msikitini kwenu huwa hatuizungumzii hiyo mahakama, asante kwa ushauri mtoa mada
Hapa tunapeana dondoo na arguments ambazo zinatusaidia kuelewa mambo. Huwezi kumueleza mtu kwa kumtuma akasome kitabu chako ambacho ukweli wake unaweza pia ni kujadiliwa hapa.
Kuna watu mumeamua kukataa kila kitu na kutaka kila kitu chenu kikubalike. that will amount to nonsense!
Wapi ktk nchi hii wakristu wanapewa bilioni 91? Sema sababu ili tueleweshane badala ya kumtuma mtu aende kwenye kitabu. Au nawe unahesabu zinazokwenda hospitali na mashule yaliyojengwa na wakristu, ambako hata waislamu wanapata tiba na watoto kusoma? Kama ni hizo nitakuwa nimeelewa uelewa wako na naweza nisihitaji hata 'kitabu' chako.
Hapa tunapeana dondoo na arguments ambazo zinatusaidia kuelewa mambo. Huwezi kumueleza mtu kwa kumtuma akasome kitabu chako ambacho ukweli wake unaweza pia ni kujadiliwa hapa.
Kuna watu mumeamua kukataa kila kitu na kutaka kila kitu chenu kikubalike. that will amount to nonsense!
Wapi ktk nchi hii wakristu wanapewa bilioni 91? Sema sababu ili tueleweshane badala ya kumtuma mtu aende kwenye kitabu. Au nawe unahesabu zinazokwenda hospitali na mashule yaliyojengwa na wakristu, ambako hata waislamu wanapata tiba na watoto kusoma? Kama ni hizo nitakuwa nimeelewa uelewa wako na naweza nisihitaji hata 'kitabu' chako.
''In June, TAA headquarters announced its executive committee with J.K. Nyerere, President; Abdulwahid Sykes, Vice-President; J.P. Kasella Bantu, General Secretary; Alexander M. Tobias and Waziri Dossa Aziz, Joint Minuting Secretary; John Rupia, Treasurer and Ally K. Sykes as Assistant Treasurer. Committee members were Dr Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo and Patrick Aoko.[1] The composition of the TAA leadership showed East African solidarity that existed during the struggle for independence. Kenyan patriots were elected as office bearers side by side with Tanganyikans. It is said that it was about that time, in the last months of 1953, that Abdulwahid talked to Nyerere seriously about forming an open political party to replace TAA.'' |
Joseph Kasella Bantu |