Sio hadithi za alfu lela ulela! Izo!lolest!!
wee mtoto mbona una paja zuri lol
Sio hadithi za alfu lela ulela! Izo!lolest!!
mzabzab unakosea sana kuwatenda wengine kwasababu tu ulitendwa na mmoja, ni heri uwe single hadi hapo kidonda cha kutendwa kitakapopona ndipo uanzishe mahusiano. Unapata dhambi ujue. Kwanza kwa style ya kugegeda na kutema inaweza kukuweka kwenye hatari ya maambukizi
eh mie sii ninagegeda malaya sasa tatizo lipo wapi. hawa wengine papuchi zao wanaona diamond wakae nazo. maambukizi kulinga na stats nipo less likely kupata kwa changu kuliko gf
Hhahaha naona umeamua kujilipua mchana kweupe na mabomu yako.....kila la heri.
USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE MWILI WAKO KITUO CHA UTALII KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE NILIVYOKUWA NATAKA
Mzabzab acha utakufa kuwa na mmoja mwaminifu, kwani unapata faida gani kuwa nao wengi? kitadisappear shauri yako?
"Naongea na wewe..."
Nina ombi.....Naomba uwe kidumu changu cha JF?uko tayari
Usijali hakuna anayeona hili uloandika, from now utakuwa kidumu changu....je unajua majukumu ya kidumu?What's in it for me eventhough am already interested...!!!
Cc: NO ONE.:tape2:
kama wee mwaminifu njoo tuanzishe uhusiano. mie wengi naona wamekaa kugegedwa gegedwa
Usijali hakuna anayeona hili uloandika, from now utakuwa kidumu changu....je unajua majukumu ya kidumu?