Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
- Thread starter
- #41
Ndo maana mimi nimeona nilikubali hili janaume langu ambalo lilitoaga machozi wakati linanitokea japokuwa ki sura sio handsome sana ila imesaidia nimekuwa mtu wa amani kuliko lile li bwana lisharo bar😵k wito wangu ni kuwa masharobaro stress tupu pia sio maoaji wala sio matashi kwenye utunzaji wa familia jamani tafuteni mafighters hata kama hana kazi jaribu kuiangaria hii trait ya ufaiter maisha yamebadirika siku hizi endekezeni usharo baro utakuja kula vimodo vyake.
Japo umeandika out of emotions haya maneno ya muhimu sana kwa sie wadada, sharobaro ni ngumu sana kukupeleka kwa level nyingine kimahusiano.....