Hewalaaa...afadhali jina langu umelitoa kwenye Most Wanted!!!
Ok, ujumbe huu uwafikie wote wanaokusumbua, watu8 et al, jamanieee juzi tu nilipoenda kumzika bosi wangu nilipitia 'kwa Msisi' muulizeni babu Dark City kunasifika kwa nini...we warned!!!
Kwako Mrembo by Nature, I meant wewe unaniita mimi 'kidumu' basi mimi nikuiteje wewe? 'kidumu' pia au kuna jina ambalo na wewe unastahili kuitwa?
Hawezi kuja kukutafuta bila mimi kumpa go ahead, Nilishamfunga miguu na mikono kimahabati so hana nguvu hiyo, ananisikiliza mimi tu
Hahahah....sipati picha kaka mkubwa yule alivyo na neg aspects towards r'ships eti katulizwa tuliiii...
Sijui utakua umempa mahabat ya Kidigo au Kigunya, mwanaume alelewa kama kichanga
Ndio alishatulia hapa, au muulize mwenyewe uone atajibu nini. Mie sisemi sana
watu8 na ndoo yangu Mrembo by Nature....:nono::nono::nono:
Kuna wengine wamependa mafukara nawametendwa pia? Ki ukweli haya mambo hayana formula...Muhimu ni kumweka Mungu mbele.
The best rule never trust a man hata akulilie machozi, ukiamua kutoka naye just do it ila tambua at any time t atatoka kutafuta other papuchiz