Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 7,818
- 16,971
Magufuri alikutana na hii changamoto na ndio maana mfumo wote ukawa unakwenda against na utendaji wake ikawa kila siku ni teuzi na utumbuaji wa watendaji.kwahyo magufuli alipunguza hii hali katika kipindi chake? Maana kwa maelezo yako inaonesha yote unayosema magufuli alikua anakemea japokuwa na yeye alikua kama ana ka udikteta fulani hvi, na vp kuhusu waalimu, wanapata tabu na wao za kutumikishwa?
Kimsingi Jamii ya mtanzania inahitajika kufanyiwa upasuaji mkubwa sana aisee.