Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,799
- 46,515
Wanafaidika mambo yao kuyafanyia gizani
Kawaulize makada waccm wanafaidika nini siku ya Leo kukosa internet
Kawaulize makada waccm wanafaidika nini siku ya Leo kukosa internet
Jiwe ni bogasi kabisa anashauriwa na watu mafala sana yaani hii ya kuzima inaweza kumpunguzia zaidi kura kesho na hatoamini
Sasa kwa nn CCM inatumia nguvu kubwa hivi?.in your dreams, lazima wote tuumie, mwenyewe ccm, hapa napata joto la jiwe na kijiuliza kama kweli ntapigia kura jpm. Ila wajanja, wanajuwa wanaotumia hiyo mitandao ni wachache sana kuliko wale wa vijijini ambao ndio kula/kura zao..
Naona hata Kiswahili hujui, We Mtanzania kweli?Daaah! Kweli Watanzania wengi bado Ni wajinga sana. Hivi mpaka muda huu bado Kuna Mtanzania anaamini kuwa Lissu atamushinda Jiwe kesho kweli.
Daaaah!! Sihami Tanzania jamani.
tuna li Rais la ajabuuuuuu mnoooooWatu wengi wamemchukia mtukufu Magufuli mno
Hakika mkuu.Hii ndio tafsiri sahihi ya dikteta magufuli pale ambapo huwa anasema maendeleo hayana chama.
CCM wajinga wengi.Kuna kada mmoja wa mboga mboga jana nilimuuliza hilo suala la kufungiwa mitandao kama wao haliwaadhiri, aliishia kutaka kunipiga
Hatari Sana.,,aiseeWaliouwawa na Serikali haramu ya CCM Zanzibar wafikia 10 yaani Watanzania kumi wameuwawa bila ya sababu
Mkuu ni l.i.p. siyo r.i.p jifunze kingereza nduguWacha tuonyeshane makali kidogo by Dr. L. Shika (r.i.p)
USA walibeza Russia wakaamka na Trumpet. Tulikuwa tunawadekea tu.Magufuli na maendeleo yote aliyofanya lkn anaongopa watu wanyuma ya keyboard, ambao sio wapiga kura a ha ha ha kwa namna mnavyosema. Raisi bora kuliko wote Africa anaogopa mitandao sijawahi kuona raisi mjinga mithiri ya Magufuli.