Ushauri kwa upande wa Serikali, zimeni Mitandao ya Kijamii upande wa CHADEMA & ACT, wana CCM hawana makosa wao waendelee kuperuzi

Waliouwawa na Serikali haramu ya CCM Zanzibar wafikia 10 yaani Watanzania kumi wameuwawa bila ya sababu
 
Jiwe ni bogasi kabisa anashauriwa na watu mafala sana yaani hii ya kuzima inaweza kumpunguzia zaidi kura kesho na hatoamini
Wewe unafikitri anajali! Hukusikia stori ya TAL? NEC imeishaandaa matokeo: ******** ni mil 12 na TAL ni mil 3.
 
Nimecheka sana kwakweli nawao wanataka VPN wakati niwatu wakusifia nakuabudu jiwe.
Wale wasanii waliokuwa wanarukaruka majukwaani wanavishwa kofia sijui hili la kuzimwa mitandao kama limewagusa na wao
 
MaCCM yalidhani ni upinzani tu utaathirika na huu mfumo wa kidekteta cha ajabu leo yenyewe ndiyo yanahaha kama kuku waliokatwa vichwa.

Leo kuna dada wa CCM kanipigia simu ananiuliza namna ya kutumia VPN nikamwambia ampigie simu Musiba au Polepole watampa maelekezo ya namna kutumia VPN.
 
Daa nimecheka sana eti amuulize Musiba.
 
Ukiona mitandao inazimwa jua kuna mziki mnene unakujia hivi punde, Zanzibar tumeokota majeruhi na maiti usiku kucha walau kwa saa hizi za jioni kidogo tumepumua tukihangaika kuwatibu majeruhi wetu. Sasa na nyinyi huko Tanganyika kaeni mkao wa kunya, maana wale wapiga mziki wa nkurunziza aliowakodi Meko wameondoka jioni hii kuja huko, punde tu utaanza kuona picha za majeruhi na maiti kutokea kizngitini kwako. Heavy duty music subwoofer.
 
Jiwe ni bogasi kabisa anashauriwa na watu mafala sana yaani hii ya kuzima inaweza kumpunguzia zaidi kura kesho na hatoamini
Utatukana sana tu, lakini yana mwishoo hayo njoo kwenye kuapishwa tu. Then wengi tu tutawaachia mtandao wenu mliouza kwa mlevi wa konyagi.
 
Back
Top Bottom