Ushauri kwa upande wa Serikali, zimeni Mitandao ya Kijamii upande wa CHADEMA & ACT, wana CCM hawana makosa wao waendelee kuperuzi

Utatukana sana tu, lakini yana mwishoo hayo njoo kwenye kuapishwa tu. Then wengi tu tutawaachia mtandao wenu mliouza kwa mlevi wa konyagi.
Magufuli na maendeleo yote aliyofanya lkn anaogopa watu wanyuma ya keyboard, ambao sio wapiga kura a ha ha ha kwa namna mnavyosema. Rais bora kuliko wote Africa anaogopa mitandao sijawahi kuona Rais mjinga mithiri ya Magufuli.
 
Magufuli na maendeleo yote aliyofanya lkn anaongopa watu wanyuma ya keyboard, ambao sio wapiga kura a ha ha ha kwa namna mnavyosema. Raisi bora kuliko wote Africa anaogopa mitandao sijawahi kuona raisi mjinga mithiri ya Magufuli.
We mjanja unakesha humu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jiwe ni bogasi kabisa anashauriwa na watu mafala sana yaani hii ya kuzima inaweza kumpunguzia zaidi kura kesho na hatoamini
Daaah! Kweli Watanzania wengi bado Ni wajinga sana. Hivi mpaka muda huu bado Kuna Mtanzania anaamini kuwa Lissu atamushinda Jiwe kesho kweli.
Daaaah!! Sihami Tanzania jamani.
 
MaCCM yalidhani ni upinzani tu utaathirika na huu mfumo wa kidekteta cha ajabu leo yenyewe ndiyo yanahaha kama kuku waliokatwa vichwa.

Leo kuna dada wa CCM kanipigia simu ananiuliza namna ya kutumia VPN nikamwambia ampigie simu Musiba au Polepole watampa maelekezo ya namna kutumia VPN.
Umahiri wa utunzi wa viroja.
 
Hakuna mtu aliye salama... CCM kesho wampe kura nyingi Tundu Lissu... Mtakuja kutoa shukrani badae.
 
Hakika hana rafiki.
Humu jukwaani nimewatahadharisha mara nyingi juu ya ukatwaji wa mawasiliano ndani ya week hii. Nilitumia uzoefu wa chaguzi 2 zilizo pita. Acuteness ya huu upumbavu imekuwa ikiongezeka kutoka uchaguzi mmoja kwenda mwengine.
 
Humu jukwaani nimewatahadharisha mara nyingi juu ya ukatwaji wa mawasiliano ndani ya week hii. Nilitumia uzoefu wa chaguzi 2 zilizo pita. Acuteness ya huu upumbavu imekuwa ikiongezeka kutoka uchaguzi mmoja kwenda mwengine.
Uchaguzi gani wa huko nyumba uliwahi kupelekea mitandao kuzimwa!? Tukumbushane.
 
In your dreams, lazima wote tuumie, mwenyewe CCM, hapa napata joto la jiwe na kijiuliza kama kweli ntapigia kura JPM. Ila wajanja, wanajuwa wanaotumia hiyo mitandao ni wachache sana kuliko wale wa vijijini ambao ndio kula/kura zao..
 
Back
Top Bottom