Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

katika kazi kama ya udaktari ambayo inahitaji mtu mwenye experience hio idea yako haitakua applicable..

Daktari kafanya kazi miaka mitano anajua magonjwa yote ya watoto, akielezewa tu shida ya mtoto kashapata jibu juu ya nini kinamsumbua mtoto, daktari mwingine ameshazoea kufanya upasuaji bila hofu yoyote, leo hii umfukuze kazi umlete Daktari anayeanza na zero? SIO KWELI.
Hiyo changamoto kazi nyingi zjnahitaji experince hata ualimu ukifundishwa na mwalimu mwenye miaka 20.kazini ni tofauti kabisa na mwenye miaka 2. So ufanisi utapungua sana kazini
 
Itapunguza sana tatizo la ajira kila mwaka kunaweza kuwa na watu wapya zaidi ya laki watakoukuwa wanaingia kwenye mfumo wa ajira wa serikali huku wengine wengi wanaotoka serikalini wakiwa wanaingia kwenye mfumo wa wa sekta binafsi kupitia mafao yao kama mitaji.
Hata sasa hivi kuna wanaoingia na kustaafu,kama ishu ni mitaji hio hela ambayo mnataka kuongeza kwa waajiriwa, ili wajilimbikizie ni vyema kama ingegaiwa kwa hawa wanaomaliza chuo iwe kama mitaji
 
Kunaweza kukawa na kazi ambazo ni ' 'exceptional' mfano madaktari na walimu kwa sababu ni kweli dakatari au mwalimu wa muda mrefu zaidi ni bora kuliko mpya. Pia mpaka sasa bado kuna pengo kubwa sana la madaktari na walimu ambalo sio rahisi kuzibwa kwa miaka ya hivi karibuni hivyo mfumo huu hautawagusa kwa muda mrefu.
Hiyo changamoto kazi nyingi zjnahitaji experince hata ualimu ukifundishwa na mwalimu mwenye miaka 20.kazini ni tofauti kabisa na mwenye miaka 2. So ufanisi utapungua sana kazini
 
Hata nchi zilizoendelea hakuna kitu kama hicho kua ajira zote ziwe za mikataba .
Kuna watu wana experince kubwa kwenye mpaka inafikia wanapewa mishahara ya kufuru unafikiri hayo makampuni hayaoni vijana wanaoweza kufanya hizo kazi tena kwa mshahara wa kawaida?
Walichofanya ni kutengeneza ajira nyingi za kudumu na mkataba. Wenye ajiri za kudumu experience inawabeba sana na wa mkataba nako kuna vigezo vyake
 
Nothing beats experience?!? Are you for real Chief??!

As of current, we are in a Era that Talent, Persistence & exceptional attitude of work is a major factor.

In today’s era, experience is just / should just be an added value!!
So people with talent, persistence & exceptional attitude of work after working for 5 years what will they have which they did not have 5 years ago ?

Remember the guy who was hired in the first place might have had those features that's why he was hired anyway..., With experience there is no shortcut you get it with time...., its not theory you have but practical day to day stuff....

There is nothing anyone can tell you that will be more valuable to you than doing it for yourself, getting your fingers burned and learning from the experience.

As I bow out..., I kindly leave you with the following qoutes for your perusal....
  1. The only source of knowledge is experience. ~Albert Einstein
  2. Experience is the teacher of all things. ~Julius Caesar
  3. If you want to know the taste of a pear, you must change the pear by eating it yourself. If you want to know the theory and methods of revolution, you must take part in revolution. All genuine knowledge originates in direct experience. ~Mao Zedong
  4. Character cannot be developed in ease and quiet. Only through experience of trial and suffering can the soul be strengthened, ambition inspired, and success achieved. ~Helen Keller
 
Miaka ya kustaafu ipunguzwe 45 mwisho mtu aachie ngazi sasa wazee wamekaza eti mpaka miaka 60 ni mingi sana 45 tu astaafu akiwa a nguvu zake akaanzishe mradi ili awaajir wengine na wengine warithi nafasi yake. pia ajira za mkataba n sawa sasa sirikali inaangaika mbowe tu
At 45 kuna wengine last born ndio ameanza standard one
 
Wanoastaafu ni wachache sana na hiyo inasababisha wanaoingia kuwa wachache sana. Pia kuna tofauti kubwa ya mtu aliyefanya kazi kwa muda fulani akaingia kwenye sekta binafsi na mtu aliyetoka fresh chuo akaingia kwenye biashara,kuna uwezekano mkubwa wa kijana aliyemaliza chuo na kuingia kwenye biashara moja kwa moja kufilisika mapema.
Hata sasa hivi kuna wanaoingia na kustaafu,kama ishu ni mitaji hio hela ambayo mnataka kuongeza kwa waajiriwa, ili wajilimbikizie ni vyema kama ingegaiwa kwa hawa wanaomaliza chuo iwe kama mitaji
 
Hata nchi zilizoendelea hakuna kitu kama hicho kua ajira zote ziwe za mikataba .
Kuna watu wana experince kubwa kwenye mpaka inafikia wanapewa mishahara ya kufuru unafikiri hayo makampuni hayaoni vijana wanaoweza kufanya hizo kazi tena kwa mshahara wa kawaida?
Walichofanya ni kutengeneza ajira nyingi za kudumu na mkataba. Wenye ajiri za kudumu experience inawabeba sana na wa mkataba nako kuna vigezo vyake
Umewahi kujiuliza kwa nini Marekani ina wanajeshi wengi wastaafu ambao bado ni vijana kabisa?
 
Kunaweza kukawa na kazi ambazo ni ' 'exceptional' mfano madaktari na walimu kwa sababu ni kweli dakatari au mwalimu wa muda mrefu zaidi ni bora kuliko mpya. Pia mpaka sasa bado kuna pengo kubwa sana la madaktari na walimu ambalo sio rahisi kuzibwa kwa miaka ya hivi karibuni hivyo mfumo huu hautawagusa kwa muda mrefu.
Cha msingi ninkutengeneza ajira nyingi hasa kwa ujenzi wa biwanda na kuboresha kilimo.hata ulaya ajira za mikataba nyingi ni viwandani na mashambani pia kwenye hotel na sehem za burudani ambapo zinahitaji nguvu nyinhi na experience za kawaida.

Juzi uingereza ililalamika upungufu mkubwa wa madereva wa malori unajua kwa sababu gani?
Ni sekta ya viwanda kilimo na usafirishaji. Madereva nchini uingereza wanachukua 2% ya ajira zote za mkataba uingereza
 
Wanoastaafu ni wachache sana na hiyo inasababisha wanaoingia kuwa wachache sana. Pia kuna tofauti kubwa ya mtu aliyefanya kazi kwa muda fulani akaingia kwenye sekta binafsi na mtu aliyetoka fresh chuo akaingia kwenye biashara,kuna uwezekano mkubwa wa kijana aliyemaliza chuo na kuingia kwenye biashara moja kwa moja kufilisika mapema.
Nilijua labda una hoja, kwa hio hawa unaowataka kuwalazimisha waache kazi baada ya miaka mitano kwa kuwa wanakuwa na mtaji, hio biashara wanaiweza huko mtaani?? Na kwamba hawatafilisika kwenye biashara zao,, MNHHHHH
 
Cha msingi ninkutengeneza ajira nyingi hasa kwa ujenzi wa biwanda na kuboresha kilimo.hata ulaya ajira za mikataba nyingi ni viwandani na mashambani pia kwenye hotel na sehem za burudani ambapo zinahitaji nguvu nyinhi na experience za kawaida.

Juzi uingereza ililalamika upungufu mkubwa wa madereva wa malori unajua kwa sababu gani?
Ni sekta ya viwanda kilimo na usafirishaji. Madereva nchini uingereza wanachukua 2% ya ajira zote za mkataba uingereza
Lazima tubuni njia zaidi za kusaidia watu waajiriwa wengi na sio kugawa kidogo tunachopata,sio sahihi kumpa huyu na kumpora mwingine
 
Umewahi kujiuliza kwa nini Marekani ina wanajeshi wengi wastaafu ambao bado ni vijana kabisa?
Marekani ana operation nyingi sana nje ya nchi na idadi ya askari wake haitoshi so mpaka wanakua na ajira za mkataba jeshini kwa ajili ya operation na uzuri ni kua kwa kua kuna ajira nyingi hata wakimaliza mikataba jeshini mtaani ajira zipo kwa kiasi chake. Hapa kwetu kitaa ni kigum kiasi hata ukiwa na hela unaweza usifanikiwe
 
Uwezekano wa kufilisika mtu ambaye amefanya kazi miaka 5 au 10 ni mdogo kuliko kijana aliyemaliza chuo tu akapewa mtaji afanye biashara. Ninachosema ni huyo kijana na yeye pia atapata fursa ya kujiandaa na kujiweka sawa miaka 5 au 10 aweze kukabiliana na mazingira ya sekta binafsi.
Nilijua labda una hoja, kwa hio hawa unaowataka kuwalazimisha waache kazi baada ya miaka mitano kwa kuwa wanakuwa na mtaji, hio biashara wanaiweza huko mtaani?? Na kwamba hawatafilisika kwenye biashara zao,, MNHHHHH
 
Cha msingi ninkutengeneza ajira nyingi hasa kwa ujenzi wa biwanda na kuboresha kilimo.hata ulaya ajira za mikataba nyingi ni viwandani na mashambani pia kwenye hotel na sehem za burudani ambapo zinahitaji nguvu nyinhi na experience za kawaida.

Juzi uingereza ililalamika upungufu mkubwa wa madereva wa malori unajua kwa sababu gani?
Ni sekta ya viwanda kilimo na usafirishaji. Madereva nchini uingereza wanachukua 2% ya ajira zote za mkataba uingereza
Njia mojawapo ya kutengeneza hizo ajira nyingi zaidi ni hii iliyopendekezwa na mleta uzi.
 
Back
Top Bottom