Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,403
2,000
ku allocate resources ni ngum ndo maana tuna tumia makaratasi mbadala wa gold
Haya yanayopendkezwa ni mojawapo ya mawazo mema katika kusaidia jitihada hizo za ku allocate resources kwa usawa zaidi hata kama sio kikamilifu.
 
Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,915
2,000
kibongo mmkuna wazee nawafahaku walisha staff lakin wameajiriwa tena kwa mkataba kisa wanauzoefu.sasa iyo abae hafai atolewe atalogwa mtu. iwekwe limit tu ya muda miaka 45 serikalin unaachia vijana ww tunaasume unapesa za kutosha za kujiendelezaa acha aingie kijana fresh kutoka chuo aroung 25 years afanye kazi miaka 20 nae astafuu aachie mwingine hii itaokoa jahazi kwa asilimia nzur tu.

Key point yako ni “atarogwa mtu “
 
raraa reree

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
945
1,000
Yaani baada ya kila miaka 5 watu wapya kazini
Huko kazini kutakua mchaka mchaka watu ni kuwaza kufanikisha mambo yao tu ubunifu utakua hakuna
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,403
2,000
Miaka michache hiyo
Wanaoomba iwe hivyo ikifika zamu yao wataomba iongezwe
Hata kwa jiwe kuna watu walitaka atawale milele lakini imeshindikana.Watu wa aina hiyo hawawezi kukosekana ila katika hili watazidiwa wingi na hoja na wale watakaokua wanazitaka hizo ajira pia.
 
raraa reree

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
945
1,000
Hata kwa jiwe kuna watu walitaka atawale milele lakini imeshindikana.Watu wa aina hiyo hawawezi kukosekana ila katika hili watazidiwa wingi na hoja na wale watakaokua wanazitaka hizo ajira pia.
Hili wazo kama huko duniani hawajaibuka nalo mpaka leo jua kwamba ni suala ambalo liko mbali kufanyika
Pesa haitakiwi kuwa rahisi kiivyo kwa elimu yangu ndogo ya uchumi
 
RAISI AJAYE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,468
2,000
Una akili wewe maiti?

serikali kwa ujumla ina wafanyakazi laki 3 tu

wananchi waliobakia milioni 60 wameajiriwa na sekta binafsi

halafu unatutanulia matako hapa?

yaani unachoongea wewe ni jinsi ya wananchi kubadilishana hivyo viajira laki tatu leo apate huyu kesho afukuzwe apewe mpumbavu mwingine yule wa mwanzo awe jobless kwa rotation?

hiyo ni akili au mapumba kama yalivyo kichwani mwako?

badala uongelee jinsi ya kuongeza hivyo viajira laki 3 vya serikali viwe milioni 30 nusu ya nchi nzima wapate ajira za kudumu wewe unaongelea upumbavu wa kugawana muda wa kufanyia kazi viajira hivyo hivyo laki 3 kwa awamu?

shule mlienda kuuza matako?
Una uhakika ukitoa hyo laki tatu kwenye mil. 60 wote wameajiriwa sekta binafsi?hao wanaotafuta ajira na bahasha zao wapo sekta ipi?na hao waliojiajiri wapo sekta binafsi???NIPE DISTRIBUTION YA AJIRA ZA WATU WOTE HAO MIL.60 TUONE MLINGANYO ULIOPO HAPA NCHINI!!!MATUSI HAYAKUFANYI UONEKANE BRIGHT JUKWAANI!!!TUAMBIE NINI KIFANYIKE!NDIO MAANA YA BANDIKO HILI!!MJADALA HURU!!NJOO NA PLAN YAKO HUMU JAMVINI TUIONE!!!
 
Schoolface

Member
May 7, 2021
64
125
Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;-

1.Kwenye utumishi wa umma:
Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi, daktari, mwalimu n.k badala ya ajira zao kuwa za maisha ziwe za mkataba wa miaka mitano hadi kumi tena wakilipwa mishahara minono ili mkataba unapoisha mtumishi akajiajiri ili kuendeleza maisha yake! Hii itasaidia serikali kuajiri watumishi wapya wanaotafuta ajira kila siku na kupunguza uhaba wa ajira nchini!

2.Kwenye siasa:
Serikali itunge sheria itakayosimamia vyama vya siasa kutorudia kuteua majina yale yale kwenye uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani kila baada ya miaka mitano. Kuwe na ukomo wa utumishi wa kisiasa kwa miaka mitano mitano ili kuwapa nafasi wengine wenye sifa na vigezo vya kielimu vikichukuliwa kama sifa kuu mojawapo ya uteuzi. Angalau Shahada ya kwanza kwa ubunge na Astashahada kwa udiwani. Hii itatoa fursa kwa wengi kupitishwa na vyama vya siasa kwenye uchaguzi na kusaidia kupunguza tatizo la ajira nchini.

Nawakaribisha kwa mjadala huru na mwenye mawazo mbadala aongezee.
Wabongo tunajisahau sana kijana ukimpa mkataba wa miaka mitano anajisahau mpaka miaka mitano inaisha ndo anang’ang’ana anunue godoro
 
ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,097
2,000
Serikali wanaangalia uzoefu huo ushauri wako hauwezi kufanya kazi. Mtu anafika mwaka wa 4 anakuwa mzoefu mwaka wa 5 mkataba wake unaishi.
Unamuweka Graduated kwenye nafasi hiyo nafasi unatengeneza tatizo
 
Itakuwa miaka 10, huo uzoefu wake wa miaka 4 atautumia katika hiyo miaka 6 iliyobaki halafu awaachie wengine.
 
Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,364
2,000
Ni mziki balaa nipo kazin kuna watu wana miaka 15 kazin wengine 7 mimi nina 5 lakini naona utofauti mkubwa sana. Wenye experince kubwa wana vingi sana wanajua sio wote ila kwa kiasi kikubwa wanaijua vjzuri organization.
Wengine sio kwa utendaji ila kwenye ushauri na maamuzi wako bright sana na kweli wafanyakazi wengine wanakubali hilo
Watu sijui wanawaza nini ila hayo ya mleta mada ni ndoto za alinacha na ni kitu ambacho hakiwezekani.
 
lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,636
2,000
Wakijiua ni mipango binafsi! Kama una 60m una uwezo wa kuizalisha kama huna jiunge na wanaoweza! This is how we create wealth
Jamaa anasema watajiua kwa kukosa mshahara afu hapo hapo wanawambia graduate wajiajiri wakati hawana hata 100 huku anasema mtu ana milion 60 atajiua...

Hapo ndio ujie nje ya box kipengele
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom