Ushauri kwa ndoa hii tarajiwa

Ushauri kwa ndoa hii tarajiwa

Samahani ndugu yangu, nilimaanisha rafiki wa kike(mdada) naona kama hukunielewa vyema.

kikawaida kwenye send off huwa kunakuwa na utamaduni wa kutoa hela ambayo wengine husema kuwa ni kwa ajili ya kumaccomodate bibi harusi mtarajiwa hadi siku ya ndoa. hivyo kama send off tayari bibi harusi akiwa na angalau ndugu zake wawili au watatu wanaweza kugharamiwa malazi na ukweni lakini sio kulala na bwana harusi mtarajiwa kabla ya harusi.
 
Ushauri mzuri, umefika kwa mhusika bila kuongozewa chumvi!
 
Back
Top Bottom