Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

Atakuwa anakuelemea sana! Pole sana. Mwaka huu magamba hakuna rangi mtaacha kuona!

Huyu mwenyekiti wa Bavicha ni legelege sana hana makali kabisa......
 
Hivi CHADEMA wanapambana na ACT kwa mantiki gani,ina maana ACT ndo ina nguvu kiasi hiki,ACT haina hata Mwaka kwanini iwe gumzo kwa CHADEMA?kwanini CHADEMA wasipambane na CCM,au ACT ina nguvu kuliko CCM.
 
Hatujawai pambana na Act kazi yetu nimoja tu kumgoa mkoloni mweusi tu
 
Hivi CHADEMA wanapambana na ACT kwa mantiki gani,ina maana ACT ndo ina nguvu kiasi hiki,ACT haina hata Mwaka kwanini iwe gumzo kwa CHADEMA?kwanini CHADEMA wasipambane na CCM,au ACT ina nguvu kuliko CCM.

Mijadala ni njia nzuri ya kupambanisha sera na wakati mwingine mijadala inamuongezea mtu upeo wa kufikiri vizuri zaidi sasa act ndio naona mnaweseseka hamtaki mijada iwaguse kabisa tatizo ni nini?
 
haki ya mungu mi ni mwanachama wa cdm lakin mwenyekiti wa BAVICHA simjui

tulimzoea heche sasa tumeletewa bubu
Mimi pia huwa namlalamikia sana huyu mwenyekiti BAVICHA.Mizunguko ya Kinana imeshateka vijana wengi cdm huko Moshi, Mwanga na Rombo.
 
Nia yangu ya kumshauri mwenyekiti wa bavicha sina nia ya kumlamu hata kidogo nia yangu ni kumtia moyo yeye na timu yake kufanya kazi kwa bidii na ubunifu wa hali ya juu zaidi
 
ACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.

Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.

Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.

Big up Mawazo.
Kumbe Chadema mnapambana na ACT daa!!
 
Nia yangu ya kumshauri mwenyekiti wa bavicha sina nia ya kumlamu hata kidogo nia yangu ni kumtia moyo yeye na timu yake kufanya kazi kwa bidii na ubunifu wa hali ya juu zaidi

Ushauri wako umefika mahali usika na utafanyiwa kazi kosa ulilofanya tu.. hapa siyo mahali usika pa kuwakilisha
 
Hivi CHADEMA wanapambana na ACT kwa mantiki gani,ina maana ACT ndo ina nguvu kiasi hiki,ACT haina hata Mwaka kwanini iwe gumzo kwa CHADEMA?kwanini CHADEMA wasipambane na CCM,au ACT ina nguvu kuliko CCM.

Tunapambana nao kwa kuwa ni mawakala wa CCM. Kwahiyo tunamtandika Mama na Mtoto!
 
Mkuu mipango na utaratibu ushakamilika,Kilichobaki ni muda kazi ianze na kifupi hatuna muda wa kujibizana na ACT wao tulishamaluzana,kazi ni moja tu kuwafungua watz akili wajue nchi yao inavyoliwa na mchwa CCM ili wawape adhabu ya kutosha october.
 
Mimi pia huwa namlalamikia sana huyu mwenyekiti BAVICHA.Mizunguko ya Kinana imeshateka vijana wengi cdm huko Moshi, Mwanga na Rombo.

siyo kweli kinana kaja huku akafanya maigizo akiwaahidi vijana atawapatia pesa kwenye vikundi vyao siku ya mjumuisho Wa mikutano yake...jamaa so akaingia chocho hivyo katurahisishia kazi kweli
 
Back
Top Bottom