Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,764
- 46,273
Viroba vipo Chadema.Hatutumi viroba soma utaelewa
Viroba vipo Chadema.Hatutumi viroba soma utaelewa
Uliza ccm walivyoshughulikiwa huko kanda ya ziwa ndio utamwelewa m/kiti
siyo kweli kinana kaja huku akafanya maigizo akiwaahidi vijana atawapatia pesa kwenye vikundi vyao siku ya mjumuisho Wa mikutano yake...jamaa so akaingia chocho hivyo katurahisishia kazi kweli
Viroba vipo Chadema.
mkuu usiongelee vitu vya kubuni na kugeneralize....Mwenyekiti wa BAVICHA ndio anatakiwa afanye kazi kanda ya ziwa tu?
Afteral Kanda ya Ziwa kazi kubwa inafanywa na kina Mawazo na Peneza na yule makamu mwenyekiti wa BAVICHA
Huyo Mwenyekiti yupo tu kalala....Hovyo kabisa...Heche alikua jembe haswaaa
mkuu usiongelee vitu vya kubuni na kugeneralize....Mwenyekiti wa BAVICHA ndio anatakiwa afanye kazi kanda ya ziwa tu?
Afteral Kanda ya Ziwa kazi kubwa inafanywa na kina Mawazo na Peneza na yule makamu mwenyekiti wa BAVICHA
Huyo Mwenyekiti yupo tu kalala....Hovyo kabisa...Heche alikua jembe haswaaa
Viroba vipo Chadema.
Bavicha chini ya mwenyekiti wa sasa ni kama imekufa vile. Hakuna oparesheni ya nguvu ya kujenga chama hasa mikoa ya kati na kusini.
Nikweli usemayo tutawafukuza ccm mpaka watuachie magogoniHa ha haaa na bado dhambi ya usaliti itawatesa sana cdm mtafukuzana mno mwaka huu
Hivi CHADEMA wanapambana na ACT kwa mantiki gani,ina maana ACT ndo ina nguvu kiasi hiki,ACT haina hata Mwaka kwanini iwe gumzo kwa CHADEMA?kwanini CHADEMA wasipambane na CCM,au ACT ina nguvu kuliko CCM.
Kama kweli wewe ni mwanachadema piga kazi mafanikio yataonekana, kama unasubiria viongozi wa kitaifa ndio waje kwenye maeneo yako waeneze chama ......kama wewe ni kiongozi wa Msingi au ngazi yoyote hautufai, kuwa tuu mwanachama wa kawaida. Hata mwanachama wa kawaida anatakiwa aeneze chama kwa eneo alilopo.ACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.
Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.
Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.
Big up Mawazo.
Kama kweli wewe ni mwanachadema piga kazi mafanikio yataonekana, kama unasubiria viongozi wa kitaifa ndio waje kwenye maeneo yako waeneze chama ......kama wewe ni kiongozi wa Msingi au ngazi yoyote hautufai, kuwa tuu mwanachama wa kawaida. Hata mwanachama wa kawaida anatakiwa aeneze chama kwa eneo alilopo.
Ukisoma kadi ya Chadema kwa nyuma...Wajibu wa Mwanachama namba 3. (imetolewa kwenye katiba ya Chadema) Imeeleza kwamba "Kutetea na kueneza itikadi, falsafa na Madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Pamoja na hayo Crashwise, siasa hufanywa majukwaani. Sasa huyu mwenyekiti bavicha mbona haonekani huko?siyo kweli kinana kaja huku akafanya maigizo akiwaahidi vijana atawapatia pesa kwenye vikundi vyao siku ya mjumuisho Wa mikutano yake...jamaa so akaingia chocho hivyo katurahisishia kazi kweli
Mwenyekiti wa bavicha sasa nyupo vizuri sana.
Hafanyi kazi kwenye media. Ukitaka kumjua njoo field
Juzi alivyokua kanda ya ziwa ulikua unatazama Namakengeza ya Nyoka?Pamoja na hayo Crashwise, siasa hufanywa majukwaani. Sasa huyu mwenyekiti bavicha mbona haonekani huko?
Anafanya kazi field ipi?
Huku mtaani sijawahi kumsikia
Katika hili la BAVICHA me namtetea Mwenyekiti Patrobas Pascal Katambi anapiga kazi sana,sema kuna watu wanafanya hila za kumkwamisha kwa vile hakuwa chaguo la.....,bt pia wa kumlaumu sana ni Kitengo cha uenezi cha chama,viongozi wapo field wanapiga kazi bt hatupati taarifa zozote,kitengo kimeshindwa kucheza na media na social networks
Angalau umetupa mwanga.
1.Kwa hiyo kuna wapuuzi ndani ya chama wanamhuju,a mwenyekiti! Hawa wanapaswa kufukuzwa chama mara moja.
2,Kitengo cha habari nacho kinampa mgogo mwenyekiti.Hapa Tumaini Makene na Molemo mtoe ufafanuzi kama ni kweli.
3. Pamoja na hayo,mbona tunamsikia ole Sosopi na wengine wakiwa field?
Nimesoma post nying zinacommentiwa nimegundu kuna vijana wa ACT wanajifanya wao Chadema eti hawamjui mwenyekit Bavicha taifa, na weng kujifanya wamemchoka,
Nikwambie hv ewe kijana wa ACT na watoto wa LUMUMBU na akil zenu za kitoto kamwe hamuwez kuubadilisha yeupe kuwe nyeus ACT na CCM wameunguna kuponda upinzan tu hakuna kingine, mm najiuliza eweje kijana wa act na ccm wasema hawajui Mw/kiti Taifa unataka kumjua iliweje? Kwetu anapiga kz sasa ww unayechangia maada ya kusema hapiga kaz unataka apige kz gan? Afanye kaz za nyumban kwako au. #Hijja Madaba, #nkongu ndasa na wengine.
Wewe ndiye ulimwona akiwa huko kanda ya ziwa. Hebu nipe link ya thread inayohusu hilo unalosema.Juzi alivyokua kanda ya ziwa ulikua unatazama Namakengeza ya Nyoka?