Huyo mwenyekiti Bavicha wengi hawamtaki kabisa...
Umeona eeh!Tigitigi mko juu ongezeni ubunifu wa mashambulizi pamoja tutashinda
huyu mwenyekiti wa bavicha sawa na wa uvccm wote hawajui kuongea wanabebwa bebwa tu sijui ndo wanafanya siasa zao kwenye mitandao au ndo vyumbani mwao
Bavicha chini ya mwenyekiti wa sasa ni kama imekufa vile. Hakuna oparesheni ya nguvu ya kujenga chama hasa mikoa ya kati na kusini.
Huyo mwenyekiti Bavicha wengi hawamtaki kabisa...
Chadema Wote Ni Viongozi Hakuna, Kwahiyo Swala La Kueneza Sela Za Chama, Ni La Mwanachama Yeyote, Kuna Viongo Wa Bavicha Nchi Nzima Kama Ulivyo Uongozi, Mwingine, Hata Wewe Pia Unapaswa Kupiga Kazi, Hatulali Ni Mpaka Kimeeleweka.
mwenyekiti wa bavicha Taifa mlugaluga sana.
Wengi hamumtaki maana anawashughulikieni magamba kweli kweli. Mwaka huu mtaisoma namba!
mkuu hata hivyo mipango yenu ipo tofauti sana nyie zenu kuvaa miwani mieusi,kuandamana kwa nguvu,uongo,uzushi,kumwagia watu tindikali na kuzua umbea kuwa mnafuatiliwa na usalama wa taifa.
Bavicha chini ya mwenyekiti wa sasa ni kama imekufa vile. Hakuna oparesheni ya nguvu ya kujenga chama hasa mikoa ya kati na kusini.
Ni mzigo kama waMwenyekiti BAVICHA ni mzigo!!!