Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Makene si mratibu uhamasishaji wa BAVICHA taifa,yeye ni msemaji wa chama tu
Na BAVICHA inapaswa aliepewa hicho kitengo afanye kazi yake,bt mwenyekiti BAVICHA anapiga kazi kwelikweli
Makene si mratibu uhamasishaji wa BAVICHA taifa,yeye ni msemaji wa chama tu
Kama kweli wewe ni mwanachadema piga kazi mafanikio yataonekana, kama unasubiria viongozi wa kitaifa ndio waje kwenye maeneo yako waeneze chama ......kama wewe ni kiongozi wa Msingi au ngazi yoyote hautufai, kuwa tuu mwanachama wa kawaida. Hata mwanachama wa kawaida anatakiwa aeneze chama kwa eneo alilopo.
Ukisoma kadi ya Chadema kwa nyuma...Wajibu wa Mwanachama namba 3. (imetolewa kwenye katiba ya Chadema) Imeeleza kwamba "Kutetea na kueneza itikadi, falsafa na Madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
huku lipumba naye akijiandaa na CUF katika usajili wa dirisha dogo BAVICHA wawe makini wasije kuwa kama arsenalACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.
Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.
Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.
Big up Mawazo.