Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

Huyo M/Kiti anajulikana kuwa ni kijana wa Diallo = Membe ... CHADEMA wamuangalie kwa jicho la 4D ... Inawezekana ni Uzushi lakini Uzushi wakati mwingine huwa kuna ukweli ndani yake ... Kila la kheri makamanda ... Focus iwe kwenye mbinu za CCM wanazotumia kujaribu kuzuia wananchi kupata uhuru wao wa ukweli ili wajikwamue kutoka kwenye lindi la Umasikini na Ufisadi uliokithiri... Association of Criminals in Tanzania hawa tofauti na FUTUHI so hakuna haja ya kuwapa promo ....

ACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.

Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.

Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.

Big up Mawazo.
 
Mkuu sikuhizi umekua Msemaji wa Chadema mbona sikuonagi offisini?

Chadema Kwanza

Naguswa na sera za chadema sana ndio maana napenda kudhugumzia chadema sana na kwa kufanya hivyo sijavunja sheria wala kanuni za nchi la asha nafanya hivyo kwa kudhingatia katiba ya nchi yetu ambyo inatoa furusa kwa kila mwananchi kuchagua chama akipendacho
 
Nimekupata vema kamanda kinachonistahabisha ccm wanajifanya wanaijua chadema kuliko wanachama wenyewe waulize katiba inasema je wanaaza kunena kilugha
 
Mtoa mada amemshauri tu,M/kiti wa BAVICHA juu ya Operesheni,ambazo BAVICHA kama taasisi tutaenda kufanya hatuna sababu ya kuwagusa ACT kwakuwa sio size ya M/kiti wala BAVICHA as Taasisi hofu yake ni kwamba kuigusa ACT ni kuiongezea umaarufu usio walazima.

Sasa comment zenu wadau haziendani kabisa,na hoja ya mtoa hoja.Lendila Ushauri wako tumeuchukua na tutaufanyia kazi.
 
Nimesoma post nying zinacommentiwa nimegundu kuna vijana wa ACT wanajifanya wao Chadema eti hawamjui mwenyekit Bavicha taifa, na weng kujifanya wamemchoka,
Nikwambie hv ewe kijana wa ACT na watoto wa LUMUMBU na akil zenu za kitoto kamwe hamuwez kuubadilisha yeupe kuwe nyeus ACT na CCM wameunguna kuponda upinzan tu hakuna kingine, mm najiuliza eweje kijana wa act na ccm wasema hawajui Mw/kiti Taifa unataka kumjua iliweje? Kwetu anapiga kz sasa ww unayechangia maada ya kusema hapiga kaz unataka apige kz gan? Afanye kaz za nyumban kwako au. #Hijja Madaba, #nkongu ndasa na wengine.

Mimi mbona ni mwana CHADEMA lakini simjui huyo mwenyekiti wa BAVICHA, kaz zake anafanyia kwenye tecno wgatsapp au?
 
Kha!Et ndo wanaotegemea kushika dolla!Badala ya kushughulika na mambo ya msingi wanakalia kushindana na Act,Ccm bado saanaa madarakani.
ACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.

Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.

Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.

Big up Mawazo.
 
Mimi mbona ni mwana CHADEMA lakini simjui huyo mwenyekiti wa BAVICHA, kaz zake anafanyia kwenye tecno wgatsapp au?

Kama wewe ni mwanachama, una wajibu wa kufahamu viongozi wako!
 
Back
Top Bottom