Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Hili la barabara watu walishaongea hadi wakanyamaza na yeye amenyamaza tu, gari ndogo zinapata shida sana kufika hotelini kwake
Itafata kifo cha BoT club na Ladson Lodge Pasiansi
Hili la barabara watu walishaongea hadi wakanyamaza na yeye amenyamaza tu, gari ndogo zinapata shida sana kufika hotelini kwake
Mimi ndio niliokataza Generator kuwashwa.
MwanzaHata unajua Isamilo lodge i mkoa gani chief?
Jana usiku tulikuwa kwenye sherehe ya Harusi pale Isamilo Lodge. Ilipofika muda wa saa tano na nusu ghafla umeme ukakatika. Nilitumaini kwa hadhi ya hoteli kama ile kungekuwa na jenereta ya tahadhari (standby generator) ili ratiba iendelee kama ilivyopangwa.
Baada ya kusubiri ili jenereta iwashwe lakini hata hivyo hakuna kilichofanyika. Ilibidi ratiba zilizobaki zivunjwe na wote kutoka ukumbini.
Nimeelezwa kuwa Mmiliki ya ile Lodge ni Mheshimiwa mmoja mkubwa katika Mkoa wa Mwanza. Hivi kweli logde kubwa kama ile inakosa jenereta?.
Tulikuwa na Mhe. Mbunge wa Magu na nilimueleza amfikishie ujumbe mmiliki wa lodge hiyo mapungufu yaliyoonekana ili ayarekebishe vinginevyo atakuja kukosa wateja siku za usoni.
Pale kuna club lips.Hivi hapo si ndo kuna Night Club ya MAISHA Basement???
Umeme unakatika club?
Ladson ilikufa kimchezo mchezo maskiniItafata kifo cha BoT club na Ladson Lodge Pasiansi
😀😀😀Mmiliki ni Mbunge wa Busega Rafael Chegeni. Sasa wewe mleta uzi hicho nacho nicha kufika!!!
Acha kuharibu umaana wa siri. Eti jina ulikuwa nalo kapuni!!!! 😡😡😡😡
Huyo jamaa mwenyewe ana majanga balaa,hapa katikati baraza la mazingira lilimpiga fine ya 20mil pale hotelini kwake,sasa hivi kapigwa ndani yeye na Masha.
Tatizo la Chegeni ana kiburi, aliwanyanyasa sana wananchi wanaoizunguka hiyo hotel
Jana usiku tulikuwa kwenye sherehe ya Harusi pale Isamilo Lodge. Ilipofika muda wa saa tano na nusu ghafla umeme ukakatika. Nilitumaini kwa hadhi ya hoteli kama ile kungekuwa na jenereta ya tahadhari (standby generator) ili ratiba iendelee kama ilivyopangwa.
Baada ya kusubiri ili jenereta iwashwe lakini hata hivyo hakuna kilichofanyika. Ilibidi ratiba zilizobaki zivunjwe na wote kutoka ukumbini.
Nimeelezwa kuwa Mmiliki ya ile Lodge ni Mheshimiwa mmoja mkubwa katika Mkoa wa Mwanza. Hivi kweli logde kubwa kama ile inakosa jenereta?.
Tulikuwa na Mhe. Mbunge wa Magu na nilimueleza amfikishie ujumbe mmiliki wa lodge hiyo mapungufu yaliyoonekana ili ayarekebishe vinginevyo atakuja kukosa wateja siku za usoni.
Mkuu huwajui wabongo kwa kuficha siri za kijinga. Mngine anatoa namba za gari halafu eti anaficha kusema ni za nchi gani!!?Mmiliki ni Mbunge wa Busega Rafael Chegeni. Sasa wewe mleta uzi hicho nacho nicha kufika!!!
Acha kuharibu umaana wa siri. Eti jina ulikuwa nalo kapuni!!!! 😡😡😡😡
Ni kweli mkuu 100%Tatizo la Chegeni ana kiburi, aliwanyanyasa sana wananchi wanaoizunguka hiyo hotel
hahahaah, good morning mkuu
hahahahaahahahaahahMkuu huwajui wabongo kwa kuficha siri za kijinga. Mngine anatoa namba za gari halafu eti anaficha kusema ni za nchi gani!!?
uko sahihi kabisa hata mimi nilitaka nimwambie ivo mda ulikaribia wakumaliza sherehe yenu na hiyo hufanyikaga kila kumbi ukifika mda fulani muondoke mkionekana bado mnamambo yenu mengi switch off inahusikaTatizo sio jenereta wala umeme kukatika mlizimiwa maksudi muda wa shughuli ulikuwa umekwisha, kuna vyumba pale watu wanataka kupumzika nyie mnapitapita na mashughuli yenu
Salama kabisa, Kwema kwenu?hahahaah, good morning mkuu
kwemaaaa mno sana kabisaSalama kabisa, Kwema kwenu?