myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,145
Poa Poa..kwemaaaa mno sana kabisa
Poa Poa..kwemaaaa mno sana kabisa
Hata kama muda ulikwisha wa sherehe wangezima jenereta na kuwasha kama ishara ya kumaliza sherehe. Hiyo hawakufanya na muda wenyewe ulikuwa bado sana. Nadhani kuna tatizo na uongozi wa lodge.