Last edited by a moderator:
R.I.P chacha wangwe :
Wafanye nini? Wanakusanya kodi? Wanaingia mikataba ya Uchimbaji Madini na Gesi? Wanaingia mikataba ya kuihujumu TANESCO? Wana-control; fiscal policy? exchange rates? Interest rates? ujazi wa fedha? import and export? Investment Policy?... kwani wewe unaelimu gani mkuu? nisije kuta najaribu ku-load mzigo mkubwa kwenye machine yenye processor ndogo bure...
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Akienda CCM ndio kwanza atakuwa anajichimbia kaburi la kifikra maana hatapewa muda wa kukuza kipawa chake. Atalazimishwa kubwabwaja mitusi kama Nape vile! Namsihi sana kijana mweledi yule asithubutu kuupokea ushauri mbuzi huu unaompa.uwezo WAKE NI ZAIDI YA HUO ALIO NAO ILA ANADUMAZWA NA ITIKADI ZA CHAMA CHAKE. ANGEKUWA MBALI SANA KATIKA KULITUMIKIA TAIFA LAKE.
Wamekuza vipaji vya vijana kama akina Mnyika ambao wewe unatamani uwezo wao sasa!ni USHAURI TU MKUU, MBONA UPINZANI HAWAJAFANYA KITU TOKEA UANZISHWE?
Kwa kutoa laana za kipumbavu akafa mwenyewe!Marehemu Chacha Wangwe alimlaani Mnyika Tokea Akiwa Hai kwani mojawapo wa watu waliokuwa na chuki kubwa na Chacha wangwe alikuwa Mnyika ,sasa laana imemkamata Ubungo mwakani 2015 atabaini laana ya chacha wangwe ilivyofanya kazi
Akienda CCM ndio kwanza atakuwa anajichimbia kaburi la kifikra maana hatapewa muda wa kukuza kipawa chake. Atalazimishwa kubwabwaja mitusi kama Nape vile! Namsihi sana kijana mweledi yule asithubutu kuupokea ushauri mbuzi huu unaompa.
ni USHAURI TU MKUU, MBONA UPINZANI HAWAJAFANYA KITU TOKEA UANZISHWE?
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
aTAKUWA WAZIRI KAMA MWIGULU.
aTAKUWA WAZIRI KAMA MWIGULU.
wafanye kazi iliyokusudiwa kuanzishwa kwa upinzani. Hamna wanachofanya mbali na kuandamana.
ulitaka awe gaidi kama huyo mwigulu? Hata kama mtu ni makini vipi hawezi kuuonesha akiwa ccm.CCM inawafanya watu kuwa misukule,washabikie upumbavu ambao hata mtoto wa chekechea ataubaini na kwa mfano tu ulio hai hebu tazama bunge letu lilivyojaa upumbafu mwingi lakini unashangiliwa kishabiki na kupitishwa.Ni mambo mangapi yenye maslahi kwa taifa yanakataliwa na hao mashabiki maandazi? Wamevuruga mchakato wa katiba kwa maslahi ya kikundi kidogo na mtu makini asiye mchumia tumbo hawezi kuwa sehemu ya hao majizi,mapuuzi yenye kuwaza kwa kutumia matumbo yao yaliyokusanyana kwa jina la ccm.