Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,309
- 5,244
Zitto kamwahidi ukatibu mkuu.....ACT...
kwa hiyo kawanpora vyeti vyao au hebu fafanuaAkija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi
Kumbe na Zitto mko naye?Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Mbona Livingstone Lusinde yuko STD 7, mbona Msukuma STD 7, yaani maamuma wamejaa CCM, hamuwasomeshi, mnataka Mnyika? Endeleeni kummwagia mipesa afanye usalitiAkija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi
Ni kweli mkuu akiwa ccm atapata nafasi ya kuwaibia jasho la watanzania na kulazimishwa kuamini nyekundu ni nyeupe na kuwa na akili ndefu na hoja nzito kama yule mbumge alieshauri lijengwe sanamu la diamond na yule mdada alielia na ulevi uliopindukia.Akija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi
We kiazi kweli! Yaani unamuita mtu aje kufuata ulaji? Mp...m.bavu kweli wewe! Mbona ulishindwa kumshauri Zitto wakati anahama Chadema?Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Mbowe nae katengenezwa na Mtei, kampa binti wake, sugu katengenezwa, profesa J kapikwa, CHADEMA, esta bulaya katengenezwa mmmmmmChadema ndio waligungua kipaji chake,wakamlea na kumjengea uzoefu sasa nyie magamba mnakurupuka tu,msione vinaelea vimetengenezwa,na nyie tengenezeni wa kwenu kwanza Mnyika sio zuzu kama Zito
Huo ndiyo unaitwa UNAFIKI KWANI MUDA WOTE ULIKUWA WAPI MPAKA USIMSHAURI?! na kwataarifa yako MWANAUME HUWA ASIFIWI UNAFIKI!Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Kumbe Zito naye ccm[emoji1] au unachanganya madesi?Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
we ndo kilaza! kwani hujanielewa!acha ukiraza, angalia post ni ya mwaka gani?