Ushauri kwa Mh. John Mnyika

Ushauri kwa Mh. John Mnyika

Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.

Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.

Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.

kumbe zitto mwanachama wenu
 
Me sikuzote huaga nasema kuwa kuipenda ccm kuna mawili, either hunaakili timamu au unamaslahi nayo ya kifisadi!!! Sasa muweka thread uko upande gani??
 
Kuwa ccm inakubidi uwe na akili ya Haiti,so kufikiri hapo hakupo.ccm ni misukule usiwape sifa wasiyokuwanayo,kwenda ccm ni kupotea kabisa,
Sifa ulizotaja ndizo sifa za ccm,ccm waongo sana,walituahidi maisha bora,hadi leo hayo maisha bora ni kwao wakizidi kujilimbikizia mali tena kwa njia zisizo halali'ccm si wazalendo hata kidogo mburura wewe,ni majizi makubwa ya raslimali za nchi hii na wabinafsi sana,halafu unasema wazalendo!uone aibu.

kwanza jina lako linafanana na comment zako za mchina feki,
pili hayo maisha bora endelea kuyasubiri kama wengine wanavyorubiri kuona faida za upinzani tangt 1992.
 
Me sikuzote huaga nasema kuwa kuipenda ccm kuna mawili, either hunaakili timamu au unamaslahi nayo ya kifisadi!!! Sasa muweka thread uko upande gani??

nyani haoni kundule
 
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.

Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.

Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.

Yahani naye unataka abemendwe na wagonga meza! Btw, sioni complement ya makamba hata moja.
 
Khaa labda dr mnyika agombee uenyekiti kwani dr mbowe amefikia ukomo wa kufikiri katika kuendesha chama
 
Ushauri mwingine ni zaidi ya Uchuro! Yaani aende CCM iliyoshindwa kutupatia huduma za kijamii Elimu, Afya, Maji, Umeme, Barabara nk?... CCM hii yenye kugawa Rasilimali za Watanzania kwa Wageni? ndugu yangu na kushauri ukapime afya yako! Lazima utakuwa unaugua mfumo wa ufahamu!! Hawezekani mwenye akili akawashangilia Majangili wenye kufurahia maisha magumu ya Wananchi waliokata tama ya maisha INGAWA ardhi yao imejaaliwa utajiri wa kila aina...SHITAMBALA yuko wapi? Shonza? Mwizi wa Simu? Kwanini usiwashauri CCM kuacha Ujangili na Biashara ya Sembe yenye kuwaletea vijana wa Kitanzania maafa?...
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.

Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.

Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
 
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.

Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.

Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
mkuu umetoa wazo zuri na baya at the same time.
kuondoka chadema --yes
kwenda ccm---big NO.
 
Ushauri mwingine ni zaidi ya Uchuro! Yaani aende CCM iliyoshindwa kutupatia huduma za kijamii Elimu, Afya, Maji, Umeme, Barabara nk?... CCM hii yenye kugawa Rasilimali za Watanzania kwa Wageni? ndugu yangu na kushauri ukapime afya yako! Lazima utakuwa unaugua mfumo wa ufahamu!! Hawezekani mwenye akili akawashangilia Majangili wenye kufurahia maisha magumu ya Wananchi waliokata tama ya maisha INGAWA ardhi yao imejaaliwa utajiri wa kila aina...SHITAMBALA yuko wapi? Shonza? Mwizi wa Simu? Kwanini usiwashauri CCM kuacha Ujangili na Biashara ya Sembe yenye kuwaletea vijana wa Kitanzania maafa?...

ni USHAURI TU MKUU, MBONA UPINZANI HAWAJAFANYA KITU TOKEA UANZISHWE?
 
Wafanye nini? Wanakusanya kodi? Wanaingia mikataba ya Uchimbaji Madini na Gesi? Wanaingia mikataba ya kuihujumu TANESCO? Wana-control; fiscal policy? exchange rates? Interest rates? ujazi wa fedha? import and export? Investment Policy?... kwani wewe unaelimu gani mkuu? nisije kuta najaribu ku-load mzigo mkubwa kwenye machine yenye processor ndogo bure...
 
Akija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi

kwi kwi kwi anaongeza ka- degree kengine ka c......p kama kale ka kwanza alikopata pale mlimani
 
Akija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi

Mbna umetaja wawili tu wanaoendelezwa kielimu na chama cha mataira?taja na wengine bc tuzidi kuwafaham tunaowasomesha kwa kodi zetu.shenz type
 
Wafanye nini? Wanakusanya kodi? Wanaingia mikataba ya Uchimbaji Madini na Gesi? Wanaingia mikataba ya kuihujumu TANESCO? Wana-control; fiscal policy? exchange rates? Interest rates? ujazi wa fedha? import and export? Investment Policy?... kwani wewe unaelimu gani mkuu? nisije kuta najaribu ku-load mzigo mkubwa kwenye machine yenye processor ndogo bure...

Hahahaha bora umeshtka mkuu huyo ni kilaza+
 
Aisee cpata kuona ushauri safi wenye maono kama huu. Ni kweli mnyika ni miongoni mwa viongozi bora katika taifa hili ebu toka huko kwa hao maibilisi njoo huku utuongoze huko akufai kila siku utakuwa mtu wa dhambi tu kaka tafadhali

R.I.P chacha wangwe :
 
Back
Top Bottom