sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.