sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
- Thread starter
- #81
Mpumbafu kama wewe huwaza vyeo tu! Hawazi wala haumizi kichwa kuona nchi yetu ni tajiri ina raslimali kibao lakini watu wake wanaogelea ktk umaskini wa kutupwa! Yeye huwaza vyeo na pesa tu.SasaHapo naipata picha ya Makamba,mwigulu na zito kuwa roll modal wako! Wachumia tumbo kwako ndo mpango mzima! Jitambue na uache kutumika kijinga hivo
mBONA VIONGOZI WENU WA JUU WANAVING'ANG'ANIA HADI WANABADILI VIPENGELE VYA KATIBA USIKU WA MANANE ILI WASIONDOKE MADARAKANI?