Ushauri kwa mara ya mwisho pleeeaase

Mbrazili

JF-Expert Member
May 7, 2013
649
90
Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko kama ifuatavyo
1.Bcom in banking and financial services-UDSM
2-Bcom in Accounting-UDSM
3.Bachelor of economics-ARDHI
4.BAF-Public sector-MZumbe
5BBA-Udom.................

Mi nimechagua ila kwa kuwa humu kuna wazoefu naombeni tuzijadili hizo hili nifanye chaguo lililo makini zaidi.....
TWENDE KAZI
 
Chaguo la nne na tano ungeweka Baf ya ardhi..na land valuation ya ardhi pia..na baf ya mzumbe weka ile ambayo si public sector...
 
Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko kama ifuatavyo
1.Bcom in banking and financial services-UDSM
2-Bcom in Accounting-UDSM
3.Bachelor of economics-ARDHI
4.BAF-Public sector-MZumbe
5BBA-Udom.................

Mi nimechagua ila kwa kuwa humu kuna wazoefu naombeni tuzijadili hizo hili nifanye chaguo lililo makini zaidi.....
TWENDE KAZI

yap mpango nzima wew fanya hvy lakn grade zako zinakidh matakwa ya faculty
 
Siku hizi elimu imekuwa ya kijinga sana,yaani miaka yetu ukipata sijui hizo div za kuungaunga yaani wewe unaenda chuo cha ualimu mapema kuchukua form.Sasa kwa kuwa mambo yamekuwa marahisi eti mtu anakuja mpaka kuomba ushauri achukue degree gani du kweli bwana kila mtu na bahati yake na kila zama na kitabu chake
 
Kwa kuwa naamini we utakuwa mtu mzima sana basi ngoja ninyamaze.....nimekuheshimu sanaaa mkubwa
 
Ukweli ndio huo ndugu yangu, elimu ya sasa imerahisishwa mno yaani eti div 3 za A-Level unakuwa na option ya vyuo chungu nzima, ni ajabu na kweli. Take it or leave it but I stand to be corrected!
 
Mambo yamebadilika sana tangu kipindi ulichosoma wewe na hivi sasa....globalization imeleta side effect nyingi ambazo sisi kama vijana tunakutana na ugumu katika kupambana nazo ili kuyafikia malengo.....acha nithubutu kusema ningekuwepo kipindi ulichosoma wewe ningekuburuza vibaya vbaya kila mtihani......ndio kwa sababu nachanganya vitu vingi na bado na maintain
Upo mkubwaaa??
 
mbona poa tu na matokeo a mwaka huu jinsi alivyo namba moja na tatu zinakuhuu hapo
 
Hata kama matokeo ni mabaya,kwa hzo kozi za udsm na mzumbe huwezi kupata kwa points hzo.labda jaribu huko kwingne.over
 
Sasa UDSM atasoma nani ikiwa tanzania nzima kuna div one 325 tu hebu kadiria hapo za uchumi ngapi halafu uniambie kama tusipoenda sie atasoma nani????.... nadhani muda umefika tusiishi kwa mazoea
 
Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko kama ifuatavyo
1.Bcom in banking and financial services-UDSM
2-Bcom in Accounting-UDSM
3.Bachelor of economics-ARDHI
4.BAF-Public sector-MZumbe
5BBA-Udom.................

Mi nimechagua ila kwa kuwa humu kuna wazoefu naombeni tuzijadili hizo hili nifanye chaguo lililo makini zaidi.....
TWENDE KAZI

elimu yetu ndo hiyo chagua yeyote kati hizo ìsipokuwa bcom.afu angalia soko la ajira na faculty ulizo omba ila why not education it is still marketable.
 
Asante mkuu kwa ushauri....ila hujanifafanulia why nisichague bcom....na je ni zipi zilizo marketable apart from these ones.....ntashukuru kama utachambua tena
 
waambie ukweli..bhana .elimu ya sasa na ya zaman nitofauti.

Sijajua uko upande gani wa vijana au wa huyu mbaba.....kama utakuwa upande wake basi umekosea maana enzi hizo mtihani maswali 15 na hayana section...so just unachagua matano unagonga imetoka so ilikuwa unaweza kusoma topic mbili na ukafaulu mtihani.....lakini elimu ya leo huwezi soma topic 3 out of 10 na ukafaulu mtihani...ili uwe competent unatakiwa usome angalau 8 ili ukabiliane na maswali 8 au 10 ambayo hayajirudii kwenye topuc moja....so msiongee tu as if it z easy ukweli ni kuwa kuna ugumu sana
 
Sasa UDSM atasoma nani ikiwa tanzania nzima kuna div one 325 tu hebu kadiria hapo za uchumi ngapi halafu uniambie kama tusipoenda sie atasoma nani????.... nadhani muda umefika tusiishi kwa mazoea

zipo dv two kibao zitachukuliwa,vilevile kuna three za penati kibao nazo zitachukuliwa.
 
Hahahaaaaaa.....sawa miezi miwili sio mingi.......mi nshaaply na sibadilishi.....ntaku PM wakati nashangilia ushindi nduguuuu......
 
Bravo mbrazil we fanya yako 2,me pia nimehitim iyo hge bt nimeanza na land manag & valuation kwny selection zangu,,,,,kama una mwanga wa utajipanga vp uko mbelen hususan kwny soko la ajira no need ya ku turn back mkuu
 
Mambo yamebadilika sana tangu kipindi ulichosoma wewe na hivi sasa....globalization imeleta side effect nyingi ambazo sisi kama vijana tunakutana na ugumu katika kupambana nazo ili kuyafikia malengo.....acha nithubutu kusema ningekuwepo kipindi ulichosoma wewe ningekuburuza vibaya vbaya kila mtihani......ndio kwa sababu nachanganya vitu vingi na bado na maintain
Upo mkubwaaa??

Hapo umenena mkuu @mbrazil.

MIA.
 
Bravo mbrazil we fanya yako 2,me pia nimehitim iyo hge bt nimeanza na land manag & valuation kwny selection zangu,,,,,kama una mwanga wa utajipanga vp uko mbelen hususan kwny soko la ajira no need ya ku turn back mkuu

Kweli kabisa....wakatishaji tamaa hawakosi so usiache kupambania unachokipenda coz wao sio tcu.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom