Ushauri kwa Mange Kimambi

Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
talking rubbish!
 
Na wewe unaonekana huna kazi ya kufanya umejuaje kama yeye yupo instagram muda wote??
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Huna jipya mamluki
 
We naye unataka kutukanwa tu
 
Lakini huyu Dada siyo mtumishi wa umma wala hajaomba kazi hiyo, unataka aonyeshe vyeti kwa nini? OK, nani alianzisha huo uhakiki wa vyeti.
 
Hivi wewe warumi una undugu na Zamaradi Mketema? Halafu mbona hii ishu ya Makonda inaonekana imekugusa kipekee hadi humu ndani umeshupaza shingo kumtetea hadi unaporomosha matusi kwa watu bila ya sababu? Unatakaje watu watoe ushahidi zaidi ya huu uliotolewa kwa kutaja majina ya watu waliosoma na Daudi Bashite toka Kolomije hadi Pamba Sekondari?
 
Ukiboko wa mange ukowapi. You guys mnakuwa negativity always. Nchi haiweziendelea kwa maneno yenu. Mvunja nchi ni mwananchi na mjenga nchi ni mwananchi. Rais hawezifanya kazi peke yake na maendeleo yakaja tanzania. Inatupasa wote tushiriki kuinua uchumi wa taifa letu. Sasa mnapojitokeza na kuanza kumsifia mtu anayeishi marekani na anatukana nchi yetu, binafsi nawaona nyie ni punguani msio na akili timamu. Mnajua tread zinasomwa na watu wa nje pia. Wanaozisoma wanatuona sisi majinga vilevile. Pia msijidanganye kwamba hawezi kukamatwa. Majeshi ya dunia yana ushirikiano kama ikionekana kuwa anatakiwa kuja kujibu hoja huku basi tanzania itaomba raia wake aletwe huku na atakamatwa hukohuko na akaletwa kushtakiwa huku.
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
bashite ni wengi, ndio nini umeongea.
 
we jamaa kumbe una mdomo mchafu kiasi hiki jaribu kujibu vitu kwa hoja wacha kuwa na jazba wanaume halisi hatuko hivyo usirudie kosa 2020 wewe kijana mwenzangu
Mtaishia kunawatu 2020 sioni mtu mwingine anayeweza kuiongoza hii nchi tofauti na magufuli. Subirini iajenge nchi then akitoka aje majaliwa, na baada ya hapo tutawafikiria
 
tuweke ushabiki pembeni niambie mpaka sasa kuna project gani kubwa imeshafanywa zaidi ya project ya kutumbua tumbua maadui? project zote zinazoendelea now nchini mchakato wake ulianzishwa na serikali ya jk
 
ungekuwa kipofu kweli ningekubishia...ila kama hauoni na una macho ni bora yapofuliwe tu.
 
Watanzania bana et atafute kazi...kazi ipi ambayo wewe unahitaji atafute na aifanye???? Mtaacha Lin kuwaelekeza watu wasiowahusu aina ya maisha mliyoyakrem?
Wewe unahtaj ushauri wa kujua mtu akichagua maisha yake n yakwake wewe hayakuhusu hata chembe...
Unapungua nn mange kushinda insta? Ulimsomesha kias kwamba unaona hafanyi kaz basi haupat rejesho la ada yako kwake?
Acha mambo za kipuuzi....

Mshauri bashte atukomeshe aweke vyeti wazi
Mwambie huyo

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
C ndio hapo sasa, sina uhakika kama Mange ana elimu ya kutosha "KUNA KUSOMA LKN USIELIMIKE" huenda huyu Mange yuko kwenye hilo kundi. Ni aibu kushupalia kitu ambacho hajafanyia utafiti, huo ni uvivu wa kufikiri. Nitamuelewa iwapo atakuwa na evidence juu ya hilo jambo.

TUJIULIZE:
1. Nani mwajiri wa RC Makonda
2. Je, wakati anafanyiwa vetting wahusika hawakuona cv zake
3. Kama mwajiri wake aliviona vyeti na kuridhika navyo wanaohoji wana hoja za msingi?

NAOMBA TUZIACHIE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA KUSHUGHULIKIA SUALA HILO.

HAPO KUNA MAMBO MATATU:
1. Kiki za kisiasa
2. Wanaohusika wa dawa za kulevya kwa namna moja au nyingine wanataka kumdhoofisha kwenye vita dhidi ya mapambano ya dawa za kulevya
3. Huenda ameingia kwenye maslahi yao //

KUKOSA UBUNGE VITI MAALUM IMEKUWA NONGWA, JAMANI.
Wewe kweli akili imeganda au mahaba kwa Bashite yamezidi.
 
ungekuwa kipofu kweli ningekubishia...ila kama hauoni na una macho ni bora yapofuliwe tu.
hamna project yeyote mpya kama ipo si ingeonekana? project zote za sasa ni za jk na ndo bado zinaendelea. nothing new. kama zipo taja acha ubishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom