Ushauri kwa mabinti

Ushauri kwa mabinti

Wewe unaonekana mchaga na tabia za wachaga ni kupenda pesa sasa muoane wachaga wenyewe
 
Kuishi nao kifamilia wako fresh sana

shida inakuja kwa upande wetu kuolewa hapo ndo pagumu maana zile baby baby hawana wala hawazijui, wasukuma hata romance hawajui wao ikisimama tu ni kudumbukiza hapa kwenye ishu ya kumlea mke ni sifuri kabisa,,,,,

Uzuri wao sio wachoyo jamani jamani ndo uwe jeupe hivi na umejaa kiaina msukuma anakupigia na goti chochote kilicho ndani ya uwezo wake atakupa subiri akuoe,,,, mama weeee
Kwenye Muamala wa kifamilia hawako pouwa kwasababu wale ni Anti social hawajazoea kukaa na watu wa jamii nyingine huwaga wanajitenga maporini pekeyao wakija mjini ndio inakuwa shida

Kinachonishangazaga kwa jamaa kuvaa hereni, shanga na vitenge yaani wantantuzu acha tu uzi hautoshi kuwaelezea hawa jamaa tulipokuwa Dodoma jamaa tulikuwa tunawaita Watalii
 
Ndo napowapendea hapo kwenye kutoa sio mikono ya birika
Dawa ya msukuma ni Mwanamke Mweupe aisee kule Singida jamaa wanahonga sana mahela ili azae na msukuma apate binti mweupe anajua siku akinuozesha atapata ng'ombe wengi bimaana atatajirika

Nilikuwa nawaona wakienda Bar pamoja wapo na Mabangili na Mashuka lakini akikaa kwenye Meza anazungukwa na totoz za Kinyatulu hapo hata 500k ya ng'ombe itaisha

Kwenye mechi jamaa wako pouwa sababu kuu wnakula vyakula vya asili tu
 
Hahahaha tumehamisha mada lakini mleta mada akisema ameshindwa mi namuelewa kabisa na jinsi alivyoishi peke yake muda mrefu kuanza kuzoea taratibu nyingine na ameolewa na msukuma og,,, akishindwa amuache tu maisha mafupi sana kuishi pasipo furaha
Kwenye Muamala wa kifamilia hawako pouwa kwasababu wale ni Anti social hawajazoea kukaa na watu wa jamii nyingine huwaga wanajitenga maporini pekeyao wakija mjini ndio inakuwa shida

Kinachonishangazaga kwa jamaa kuvaa hereni, shanga na vitenge yaani wantantuzu acha tu uzi hautoshi kuwaelezea hawa jamaa tulipokuwa Dodoma jamaa tulikuwa tunawaita Watalii
 
Write your reply... kabila sio tatzo, labda wewe ndio tatizo ndio maana huwezi kuish na mwanaume
 
Ndo napowapendea hapo kwenye kutoa sio mikono ya birika
Jamaa hela wanazo sana kwasababu ya Utajiri wa ng'ombe nimeshuhudia sana jamaa wakikamatiwaga ng'ombe wao Reserve na Askari wa Magame hutoa rushwa hata ya mil10 ili ng'ombe wake waachiwe

Sasa imagine kwamtu kama huyo atashindwa kuhonga 200k ?
 
Hahahaha tumehamisha mada lakini mleta mada akisema ameshindwa mi namuelewa kabisa na jinsi alivyoishi peke yake muda mrefu kuanza kuzoea taratibu nyingine na ameolewa na msukuma og,,, akishindwa amuache tu maisha mafupi sana kuishi pasipo furaha
Ok tosha
 
usikatae kabisa na ndio wananifanya nivunje hi ndoa...nimeolewa mwez mmoja wakaja 3 nakaa nao hapa tuna vyumba 2 na sebule na wapo jinsia 2 tofauti bado hii likizo wamekuja wengine 2 so tupo watu 7 tuna vyumba 2 na sebule tumepanga tunalalaje?
Pole dada mi mwenyew boss wangu ni tribe iyo ana mambo ya ki local mpaka basi.primitive kuna kipindi nilitaman nimpige,issue ndogo anavyo itanua.afu kwa visasi usiseme
 
Ushauri namba moja sijui ila namba mbili naona una mantiki. Hata mimi huwa nawaza kama wewe
 
Wa kabila langu simtaki ...wasukuma siwataki...wakurya siwataki ...wamasai pia siwataki ....

Naruhusu povu kadri sabuni inavyoruhusu
 
Wamenilea nawashukuru sana lkn kwa tamaduni zao na niliyoshuhudia waume waliyofanya kwa wake zao,,, toka mdogo kabisa nilijisemea ni marufuku kuolewa usukumani
Hahahaha nawajua saana maana naish nao hadi sasa
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Kama mm aisee kabila langu nawaonaga kama dada zangu ata mtu akisema ni kabila langu mapenzi yataishia apoapo
 
tu
Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti

Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja

Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu

Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime

Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
mebadirika sana sikuhizi yote hayo hayapo karibuni kwangu
 
Duh aiseee pole mm nisingeweza lakini mnawzaje kula pamoja huwezi kuamua2 kujipakulia chako ata kama wakinuna sms mwingine wakuibadili hali ya nyumba ni mwanamke ila iyoo ndoa sidhani kama inamuendelezo mwema kwa tabia izooo
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
 
Natumai mko POA
Leo acha niwe mshauri kwa mabinti ambao hamjaolewa

1) nawashauri msikae kibachelor mda mrefu Ni mbaya Sana mfano bint anatoka kwao anapanga chumba chake anakua na kazi yake kwa muda mrefu kuanzia miaka 4,5... Nimbaya sababu ukija kuolewa unaona kuishi na kua chini ya mtu unaona Kama adhabu flan.

Mfano Mimi nimekaa mwenyewe tangu 2010 ndio nimeanza maisha ya kupanga nilijaribu kuolewa hapo nyuma nikashindwa inshort nimeshindwa ndoa 2( japo si za kanisan) na hii ya 3 inaenda kunishinda soon...nimezoea kujiamulia mwenyewe,nimezoea kufanya vingi peke angu et Sasa hv mpaka et upitie kwa mtu.... mshahara wangu mwingine aupangie matumiz Ni kitu Cha kawaida lkn inakua ngum kwangu sababu nimezoea kukaa mwenyewe

2) ushauri kwa wake kwa wanaume oaneni watu wa jamii moja
Sio ubaguzi lkn inasaidia maana tabia nyingi mnaendana
Binafsi niliolewa na nimeolewa na kabila tofauti na Mimi dah!! Inanipa shida sababu naona vitu tabia nyingi tuko tofauti
Kwa leo niishie hapa.

Part 2 inakuja
Hao wanaume watatu wote ni kabila moja?
 
Hapo namba mbili naweza kubaliana na kukataa hoja yako

Kama ni kuoana kabila moja kwa sasa siungi sana hii hoja ila kama ni kuoana watu wa malezi yanayofanana nakubaliana na wewe kwa zaidi ya asilimia 85%

Ni kweli mkioana watu ambao mnapishana sana malezi lazima mtatofautiana , ni bora mkaoana watu mnaoishi falsafa moja si huyu amelelewa hajawai chapwa na wazazi wake alafu wewe uliekuzwa kwa viboko unaenda kuoa hapo hapo aise mtatofautiana sana malezi hapo ndipo unaona watoto wanamchukia mzazi mmoja hivi hivi

Au wewe umelelewa na familia baba na mama wote wafanyabiashara ukaenda kuoa/kuolewa na mtu baba na mama wote wafanyakazi wa serikali hapo sahau habari ya kushirikiana kukuza uchumi wenu nyie hamfanani kabisa dhana ya uchumi wa familia lazima mtapishana tu
 
Haaah kweli hata mm nisingeweza
usikatae kabisa na ndio wananifanya nivunje hi ndoa...nimeolewa mwez mmoja wakaja 3 nakaa nao hapa tuna vyumba 2 na sebule na wapo jinsia 2 tofauti bado hii likizo wamekuja wengine 2 so tupo watu 7 tuna vyumba 2 na sebule tumepanga tunalalaje?
 
Back
Top Bottom