Hizi kauli wanawake mnazo sana, kuna wenzio wanajuta huko waliko sasa hivi, wengine wanajutia maamuzi yao ya hovyo, eti siolewi na wa kabila langu.Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Hiyo tabia ya kujazana kwa ndugu mmoja hasa wakiwa jirani ipo pia kwa waziguaWasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti
Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja
Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu
Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime
Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
Unazeekea nyumbani...kama ni late 20s au 30s ..pole sanaSijaolewa wala sijawahi kukaa ghetto
Hapana mkuu nashindwa tu na napenda Sana kuolewa ila nadhan Kuna wenyewe bwana
Dada ana pita wewe ni mbinafsi.
mtarajiwa sasa naanza kuona matunda ya Mimi kukupeleka kwa mama yule kufundwa.Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Kumbe we sio mbinafsi mkuu
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu

Mnaishi nao hapo kwenye chumba na sebule wao hata wakilala km ngumi mradi kuna tv maisha yatasonga tu
Hahahaha bibie, naona unatoa experience ya majirani zetuMnaishi nao hapo kwenye chumba na sebule wao hata wakilala km ngumi mradi kuna tv maisha yatasonga tu
We mdada acha dharau kwa makabila ya watu, kwanza nikuulize swali, umeolewa?![]()
Mimi sio msukuma...kumbe ni wasumbufu hawa wasukuma ukiachilia mbali ile tabia yao ya ushamba!
Hivi haya mambo mnayatoaga kwa wasukuma wa Bangladeshi au wawapi?Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti
Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja
Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu
Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime
Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
Namba 2 Kama ww sio msukuma ukiolewa na hawa watu utaelewa namaanisha nn tena ukute wale wakijijin utaisoma namba
[/QUOTE Yaan kuanzia wakwe kaka zake na dada wote wanaamia na haijalishi unaish single room au double,nliwashangaa sanaa hawa watu mkuu
Hoja namba moja na mbili zimekaa penyew,yaan ukioa bint yao unaamia ukoo mzima,cha ajabu uliemuoa hawi tena mke anageuka kuwa mamantilie kwan kutwa kucha yy kupika tuWasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti
Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja
Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu
Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime
Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
usikatae kabisa na ndio wananifanya nivunje hi ndoa...nimeolewa mwez mmoja wakaja 3 nakaa nao hapa tuna vyumba 2 na sebule na wapo jinsia 2 tofauti bado hii likizo wamekuja wengine 2 so tupo watu 7 tuna vyumba 2 na sebule tumepanga tunalalaje?Hivi haya mambo mnayatoaga kwa wasukuma wa Bangladeshi au wawapi?
Hizo mila za zamani zipo kwa makabila yote, elimu na dini vimeahadiminish hizo mambo. Unless unaleta chuki binafsi. Kama hujaolewa njoo pm tuongee
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??Nilichogundua kwa mtoa uzi yeye ni Msukuma mmoja kati wawili
1Msukuma aliyeenda shule
2 Msukuma aliyekaa mjini
Ukiwa na moja katika aina mbili lazima utashindwa kuishi na msukuma mwenzio hususani ambaye hajasoma au amekulia kijijini kwasababu zifuatazo
1 msukuma humchukulia mke kama chombo cha starehe hana hadhi yeyote especially akiwa amekutolea mahari
2 KE wakisukuma yeye ndiyo Mzalishaji wa shambani Mume kazi yake ni kula na kupanga matumizi
3 Ndoa za Mitara msukuma original hawezi kuwa na mke moja wala wawili hupenda kuoa zaidi ya hapo
4 Ke kwa msukuma hana sauti yeyote yeye ni kumsikiliza Mme wake kwenye kila kitu harusiwi kujiamulia chochote bila idhini ya mumewe
5 Me wa kisukuma yeye ni juzalisha tu kila mwaka yani ukimuona binti wa kisukuma kama hana ujauzito basi ananyonyesha
aisee kwa haya binti msomi au aliyeishi mijini inakuwa ngumu kuishi na msukuma org
NB sio kama jamaa wa kisukuma hawana mazuri hapana wanayomengi sana tatizo u primitive ndio unaowasumbua
Nakusubiri wewe tu mtarajiwa manake tayari nimeiva kila idaramtarajiwa sasa naanza kuona matunda ya Mimi kukupeleka kwa mama yule kufundwa.