Ushauri kwa mabinti

Ushauri kwa mabinti

Natumai mko POA
Leo acha niwe mshauri kwa mabinti ambao hamjaolewa

1) nawashauri msikae kibachelor mda mrefu Ni mbaya Sana mfano bint anatoka kwao anapanga chumba chake anakua na kazi yake kwa muda mrefu kuanzia miaka 4,5... Nimbaya sababu ukija kuolewa unaona kuishi na kua chini ya mtu unaona Kama adhabu flan.

Mfano Mimi nimekaa mwenyewe tangu 2010 ndio nimeanza maisha ya kupanga nilijaribu kuolewa hapo nyuma nikashindwa inshort nimeshindwa ndoa 2( japo si za kanisan) na hii ya 3 inaenda kunishinda soon...nimezoea kujiamulia mwenyewe,nimezoea kufanya vingi peke angu et Sasa hv mpaka et upitie kwa mtu.... mshahara wangu mwingine aupangie matumiz Ni kitu Cha kawaida lkn inakua ngum kwangu sababu nimezoea kukaa mwenyewe

2) ushauri kwa wake kwa wanaume oaneni watu wa jamii moja
Sio ubaguzi lkn inasaidia maana tabia nyingi mnaendana
Binafsi niliolewa na nimeolewa na kabila tofauti na Mimi dah!! Inanipa shida sababu naona vitu tabia nyingi tuko tofauti
Kwa leo niishie hapa.

Part 2 inakuja
Unaonekana kisirani wewe... Ndoa tatu zimekushindaje?
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Good advice
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia

Hivi mtu anakuja vipi nyumbani kwako na kukupangia namna ya kuishi?

Kama kwako kila mtu sahani yake inakuwaje tena mnakula sahani 1? Labda useme huna sahani za kutosha au chakula cha kutosha.
 
yan hujaelewa kwetu tulikua tunakula Kila mmoja sahan lake ila nimeolewa mume hataki anadai ni uchoyo so wote mnakula bakuli moja sahan moja
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
pole sana bibie ila kifupi ni kwamba kila kabila linamapungufu yake,hivi umeshawahi kusikia kwamba ukiolewa na mchaga wa kijijini anakuacha moshi unakaa na wakwe mwaka mzima yeye anaenda mikoani kutafuta maisha hadi xmass ndio mnaonana au ukiolewa na masai anayefata mila mke ni wa kila mwanaume wa rika la mumewe yani kama mimi ni masai halafu rika langu ni korianga basi kila korianga ana haki ya kukukula kama mimi mume wako sipo na hata mimi nikijua kimila sitakiwi kucomplain provided that aliyekukula ni age mate wangu kimila ,hivyo kikubwa ni wewe na mwenza wako kuzungumza kuwa kuna baadhi ya mambo ya kimila yanakukera na hayana positive impact yeyote kwenye ndoa yenu after all siyo kila msukuma mwanaume anafata hizo mila dada yangu anaishi na msukuma na cjawahi kuona hizo mambo so we are not supposed to act on inductive reasoning!
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
Hahaha yote unayosema mm nimeyashuhudia kwa Macho nilikaaga na Wasukuma Tabora, Singida, Mbeya, Katavi nawajua sana

Asubuhi nilishangaa umeletwa ugali wa Dona na Mlenda wa Unga tukala wote yaani wanaume kivyao wanawake kivyao na mkila mpaka chakula kinabaki

Nikaenda Singida nilifika kwa mwenyeji wangu ( Msukuma) jioni akatukaribisha mezani kulikuwa na Sinia kubwa lemejaa karanga za kuchemsha na Mahindi ya kuchemsha alafu unashushia na bakuli la maziwa ya mtindi

Siku nyingine nilienda tabora vijijini nikakuta nyumban kwa mwenyeji wangu Ugali wa Mtama na Mlenda tukala baada ya kuisha ugali likaletwa sahani lina viazi vya kuchemsha na vikombe vikubwa vyenye maziwa mabichi yaliyotoka kukamuliwa mda sio mrefu zizini

Tatizo la wasukuma wengi hawana dini sio Waislam wala wakristo kwaiyo wanakosa zile adabu za kula kama unakinyaa unaweza ukashindwa kula nao ( baadhi yao wanakuwa wachafu sana) wanavaa mashuka yanatoa harufu mbaya hawaogi wanavaa mabangili yanatema sio mchezo

Formula yao ya kula haiko systematic lakini nilipenda vyakula vyao ni vya asili tupu
IMG-20180723-WA0019.jpg
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
Alafu msukuma akikuona ww umetoka mjini akikukaribisha chakula usipokula anaona umemdharau na kumuona yeye mchafu hili lilinipelekea kunywa uji wa mahindi yasiyo na chumvi wala sukari

Ila mvumilie na umuelimishe kidogo dogo huwenda akabadilika
 
Mila za zamani???? Hizi zipo sana halafu ukumbuke 60% ya raia wa Tanzania wanaishi vijijini sasa sijui unabisha nini!!
Hivi haya mambo mnayatoaga kwa wasukuma wa Bangladeshi au wawapi?

Hizo mila za zamani zipo kwa makabila yote, elimu na dini vimeahadiminish hizo mambo. Unless unaleta chuki binafsi. Kama hujaolewa njoo pm tuongee
 
Kama ulivyosema msukuma asikutolee mahari tu
Mazuri yao ni sio wachoyo wanajua kuhonga bhana, wanapenda maji balaa na wana nguvu sana kwenye mambo flani akiwa ameelimika mbona utafurahi
Nilichogundua kwa mtoa uzi yeye ni Msukuma mmoja kati wawili

1Msukuma aliyeenda shule
2 Msukuma aliyekaa mjini

Ukiwa na moja katika aina mbili lazima utashindwa kuishi na msukuma mwenzio hususani ambaye hajasoma au amekulia kijijini kwasababu zifuatazo

1 msukuma humchukulia mke kama chombo cha starehe hana hadhi yeyote especially akiwa amekutolea mahari

2 KE wakisukuma yeye ndiyo Mzalishaji wa shambani Mume kazi yake ni kula na kupanga matumizi

3 Ndoa za Mitara msukuma original hawezi kuwa na mke moja wala wawili hupenda kuoa zaidi ya hapo

4 Ke kwa msukuma hana sauti yeyote yeye ni kumsikiliza Mme wake kwenye kila kitu harusiwi kujiamulia chochote bila idhini ya mumewe

5 Me wa kisukuma yeye ni juzalisha tu kila mwaka yani ukimuona binti wa kisukuma kama hana ujauzito basi ananyonyesha

aisee kwa haya binti msomi au aliyeishi mijini inakuwa ngumu kuishi na msukuma org

NB sio kama jamaa wa kisukuma hawana mazuri hapana wanayomengi sana tatizo u primitive ndio unaowasumbua
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
Hahahahahaha aisee umenichekesha balaa,,, kama hujaishi usukumani hiyo ni changamoto hapo ushaitwa majina yote na wanavyowasemaga wahaya wako wachoyo kumbe ni ustaarabu wa kawaida tu

Pole sana aisee kama nakuona umebeba jembe begani unaenda kujifunza kulima kwakweli huo ni mtihani
 
Hivi mtu anakuja vipi nyumbani kwako na kukupangia namna ya kuishi?

Kama kwako kila mtu sahani yake inakuwaje tena mnakula sahani 1? Labda useme huna sahani za kutosha au chakula cha kutosha.
Huwajui wasukuma wewe!!
 
Alafu msukuma akikuona ww umetoka mjini akikukaribisha chakula usipokula anaona umemdharau na kumuona yeye mchafu hili lilinipelekea kunywa uji wa mahindi yasiyo na chumvi wala sukari

Ila mvumilie na umuelimishe kidogo dogo huwenda akabadilika
Kubadilika ni ngumu hasa awe mnyantuzu hehehe mbona analo ni viburi wale wasukuma wa shy

Ila tu ni wakarimu mno hili kabila hawana choyo na wana utu sana wabarikiwe kwakweli
 
Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia

Nimekuonea huruma.
 
Kubadilika ni ngumu hasa awe mnyantuzu hehehe mbona analo ni viburi wale wasukuma wa shy

Ila tu ni wakarimu mno hili kabila hawana choyo na wana utu sana wabarikiwe kwakweli
Kwenye Ukarimu jamaa wako vizuri sana nilishawahi kwenda Urambo nilikaribishwa kwa ukarimu nikatengewa maji ya kuoga wakanichinjia kuku mzma akawekwa kwenye Chungu nikapewa pekeyangu chungu chote nikaambiwa kula mzee wako huyo

Jamaa walikuwa wanapiga Kinyantuzu tupu alafu mm kwenye hiyo lugha ni Sifuri Dar mda mwingine nilihisi wananiteta haaah

So far jamaa wako pouwa hawaishi kwa Stress wanakuwaga na akiba ya chakula ya hata miaka miwili au mitatu fully mang'ombe ,Mbuzi na Kondoo
 
Kuishi nao kifamilia wako fresh sana

shida inakuja kwa upande wetu kuolewa hapo ndo pagumu maana zile baby baby hawana wala hawazijui, wasukuma hata romance hawajui wao ikisimama tu ni kudumbukiza hapa kwenye ishu ya kumlea mke ni sifuri kabisa,,,,,

Uzuri wao sio wachoyo jamani jamani ndo uwe jeupe hivi na umejaa kiaina msukuma anakupigia na goti chochote kilicho ndani ya uwezo wake atakupa subiri akuoe,,,, mama weeee
Kwenye Ukarimu jamaa wako vizuri sana nilishawahi kwenda Urambo nilikaribishwa kwa ukarimu nikatengewa maji ya kuoga wakanichinjia kuku mzma akawekwa kwenye Chungu nikapewa pekeyangu chungu chote nikaambiwa kula mzee wako huyo

Jamaa walikuwa wanapiga Kinyantuzu tupu alafu mm kwenye hiyo lugha ni Sifuri Dar mda mwingine nilihisi wananiteta haaah

So far jamaa wako pouwa hawaishi kwa Stress wanakuwaga na akiba ya chakula ya hata miaka miwili au mitatu fully mang'ombe ,Mbuzi na Kondoo
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
huwataki kabisa wachaga sio?
 
Kama ulivyosema msukuma asikutolee mahari tu
Mazuri yao ni sio wachoyo wanajua kuhonga bhana, wanapenda maji balaa na wana nguvu sana kwenye mambo flani akiwa ameelimika mbona utafurahi
Dawa ya msukuma ni Mwanamke Mweupe aisee kule Singida jamaa wanahonga sana mahela ili azae na msukuma apate binti mweupe anajua siku akinuozesha atapata ng'ombe wengi bimaana atatajirika

Nilikuwa nawaona wakienda Bar pamoja wapo na Mabangili na Mashuka lakini akikaa kwenye Meza anazungukwa na totoz za Kinyatulu hapo hata 500k ya ng'ombe itaisha

Kwenye mechi jamaa wako pouwa sababu kuu wnakula vyakula vya asili tu
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Waswahili husema "asilani abadani"
 
Back
Top Bottom