GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mmekuja kupima upepo wetu wana CHADEMA. Tulishasema. Kwa tume hii, namna pekee ya kuzilinda kura zetu ni KUBAKI NAZO MIFUKONI. Tukiziweka kwenye sanduku tu, zimeibwa.
 
Naunga mkono hoja, kuna kura za Wasuku na Wakato lazima wampe mtu wao!.

Kuna wengi machoni ni mitano tena lakini mioyoni ni kwa Msuku mwenzao na Mkato mwenzao!.
P
Tatizo ACT inakubalika na watu wachache Sana so sifikirii Kama hata kura za wasukuma atazipata .
Labda kwao kisesa.
Ngoja waoambane wapate ruzuku
 
Huyo ni project malum! Ana mipaka yake! Atauma na kupuliza.. Hawezi kuvuka mstari mwekundu kamwe
Wala Mpina hana mvuto wowote kisiasa.nna uhakika Mpina akiitisha mkutano jangwani hapati watu hata elfu moja labda wasombwe na mafuso.
 
Anakura nyingi sana za kimya kimya.

Hadi atazikataa
Ubongo wa nyumbu! Kila uchaguzi ukikaribia watu wanakuwa wameshasahau jinsi kura zinavyoibiwa. Baada ya uchaguzi utasikia malalamiko, uchaguzi ukikaribia tena wameshasahau.
 
Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:

1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.

2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.

3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
Mpina Luhaga zingatia hilo, jitahidi usiongee sana kuhusu kuonewa kwako, watu wasione unatafuta sympathy. Wewe fanya mambo yako kimya kimya.....usilalamike, huyo mama ni mwepesi sana kama karatasi.
 
Utamujeleza nani akubali kwamba ACT ya zitto ni chama cha upinzani?
 
Mpina Luhaga zingatia hilo, jitahidi usiongee sana kuhusu kuonewa kwako, watu wasione unatafuta sympathy. Wewe fanya mambo yako kimya kimya.....usilalamike, huyo mama ni mwepesi sana kama karatasi.
Kabisa.
 
Wala Mpina hana mvuto wowote kisiasa.nna uhakika Mpina akiitisha mkutano jangwani hapati watu hata elfu moja labda wasombwe na mafuso.
Kati ya wagombea wote, nani mwenye Mvuto?
 
Back
Top Bottom