Kwa sasa hakuna labda sheyo mzee mapesa.Kati ya wagombea wote, nani mwenye Mvuto?
Sawa mnajimu wa jf tumekusikiaHakuna mbadala wa chadema au lissu nchi hii nyie endeleeni na maigizo tu. Huyo Mpina akipitia hata robo ya aliyopitia Lissu anarudi CCM kesho asubuhi. Usishangae akarudia ya Membe ghafla hafanyi campaign.
Sawa mnajimu wa jf wamekusikiaNaona mmekuja kujipigia promo. Nyie danganyeni watu ila Mpina ni project ya CCM. Akimaliza anarudi CCM .
Hata wewe pia unaweza kugombea huo ubunge yeye ameamua kugombea uraisisidháni kama jamaa ni clever na hawajui waislamu, kama kweli wanampenda wangemwambia agombee ubunge kwani huko uwezekano wa kushinda ni mkubwa, sasa uraisi hatoshinda halafu, whats next for him kisiasa? anafikiri na kuamini zito kabwe anaweza kuamchia aongoze? ndiyo mwisho huo, kama kweli kuna uwezekano wa kushinda zito kabwe angeachia hiyo nafasi? i think the guy (mpina) is not smart na haangalii mbali anatumika kuijenga act kanda ya ziwa halafu watam-dump ...