GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,201
Reaction score
11,350
Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:

1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.

2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.

3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
 
Huyo ni project malum! Ana mipaka yake! Atauma na kupuliza.. Hawezi kuvuka mstari mwekundu kamwe
 
Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:

1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.

2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.

3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
Polepole alitoa kauli iliyoua ndoto za upinzani uliopo kushindana effective

"Vyama vya kazi maalumu"
 
Mpina ndiye mbadala wa chadema, likely anaweza kupata kura yangu!
(Chadema ambayo tundu lisu siyo mgombea wake)
Hakuna mbadala wa chadema au lissu nchi hii nyie endeleeni na maigizo tu. Huyo Mpina akipitia hata robo ya aliyopitia Lissu anarudi CCM kesho asubuhi. Usishangae akarudia ya Membe ghafla hafanyi campaign.
 
Zitto
 
Atapata watu kisesa, huko kwingine hafahamiki. Labda
awe anatembea na wasanii kama vile diamond na konde kuvutia watu wakimaliza kutumbuiza watu wanasepa
 
Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:

1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.

2. Tafuta sauti ya mamlaka. Sauti ambayo ukiongea watu waendelee kusikiliza hata kwenye daladala. Usiongee kama umeamka usingizini.

3. Tafuteni back up ya Zitto. Ili akizingua huko mbeleni msichoke. Maana Zitto hawezi mapambano ya siku zote 60.
Hahaa CCM B hai hakuna kitu hapo
 
Naona mmekuja kujipigia promo. Nyie danganyeni watu ila Mpina ni project ya CCM. Akimaliza anarudi CCM .
 
Sijawaona wamekanusha kama ni chama cha kazi maalum
 
Back
Top Bottom