nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
Kwanza nitoe pongezi kwa kuanzishwa kwa kipindi chenu, ila ninyi mnaokiendesha kipindi hicho hamna weledi wala utaalamu wa kutoa ufafanuzi wa kitu, yaani mnajikuta mnachanganya yaani kwa ufupi HAMUELEWEKI. Tafuteni wataalamu au alikeni watu wenye upeo na uzoefu waje wafafanue vitu na ninyi mbaki kuwa waongozaji tu.
Pia suala la ratiba liko ovyo, hamjaweza kupanga muda wa vipengele vyenu, mfano kunani tanzania au global village ni kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi, yaani mkijisikia tu, na suala la mwisho ni usomaji wenu wa jumbe mbalimbali kutoka kwa watazamaji wenu, kama hamuwezi kusoma mnaziacha na siyo msome zinazowafurahisha na kuwasifia ninyi tu
BADILIKENI