trojan92 Senior Member Joined May 18, 2024 Posts 106 Reaction score 292 Aug 25, 2024 #1 Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
Mtalii mweusi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 229 Reaction score 360 Sep 1, 2024 #2 Kijana usiogope hakuna kisichowezekana hapa duniani, fanya.