Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Lumumba team mmeendeleza ujinga na kujaza jamvi. Haya tumewasikia lakini hayawahusu
 
Juliana,
Yaonyesha moyo wako bado upo Chadema kweli kweli. Hata ukishtushwa usiku, unaliitia jina la Chadema tu. Ningelikuwa miye ni weye, ningedunduiza kidogo kdogo vijisenti vya ubunge halafu nije kulilia uongozi wa Chadema nirudi nyumbani 2020 nipewe jimbo nigombee kupitia Chadema.
Na kwa kuwa weye ni Mkristo, nataka ni quote neno moja. Mtu mmoja akiitwa Daudi alimkimbia mfalme Sauli. Akaenda kujificha kwa Wafilisti ambao ni maadui. Walipokuja kwa vita dhidi ya Israel, Daudi akajifanya kuwaua Israel ili apendwe na kuaminiwa na Wafilisti. Lakini, alikuwa akipata kanafasi kidogo, hasara aliokuwa akiwapa Wafilisti ni ya kutisha. Ndivyo ilivyo kwa weye Juliana. Moyo wako woote upo Chadema. Asante kwa kuwa najua utalisoma hili
 
Mrema mlimmaliza alipojisalimisha Lumumba. Na vivyo hivyo John Cheyo. Kwa CDM mnpoteza muda, lakini si kuna chochote kiti lumumba
Unafikiri Mbowe hajafika bei kama alivyojitamba wakati amtuhumu ZZK?...kwa hii trend na chadema ilipofikia hautaamini kinachoendelea...leo ndani ya chadema na ukawa..wanamikakati,wasemaji na wenye maamuzi ni "chademaccm"
 
Ninyi ndo sikio LA kufa, kila siku twakuambieni hamtaki, bahati mbaya sana hata huyo jini wenu anowasaidiaga tushamjua, tunawapaiga pini
Naona unajifurahisha kijana!...ila siku moja ukiujuwa mchezo uliyopo utajiona mjinga kweli!
 
Hizo ni habari za kiudaku. Kwa mtu Mwenye uwezo kufikiri hawezi kukuelewa.
 
Amini usiamini huwa sielewi Julian alipata distinction gani katika masomo yake maana she is reasoning as if has never ever been to school!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
- The first objective of any political party including CCM is to rule the country by creating a government. CHADEMA is not spared as it is not a charity organization it wants to rule. Msomi kama wewe ukishangaa chama kuwa more ambitious kuuda serikali inakuwa unaonyesha sehemu ya ujuwa wako katika siasa. Your lovely party imefanya mambo mengi sana mabaya na ya ajabu sana to insure it remains in power because it is its main and foremost objective.
- Will respond on other raised criticisms once you acknowledge your understanding of main and foremost political party objective as don't like to go on wasting time and precious calories on a politically dead body of like.
Do you probably mean forming a government Sir?.
 
Umesahau pia kumfundisha matumizi sahihi ya lugha...Mbowe must be disposed ni lugha ya wapi! Hivi huko shule alisomea ujinga, ha ha haaa..!

Hii mijitu iliyotokea chadomo na kuhamia CCM ni bure tu.

Shule ilienda kusomea ujinga tu.
 
Nahisi Juliana alikuwa na extra relationship na Mbowe!!
hapa sio Siasa tu!!

Hiyo wanajua wao. Mimi nnawaona wote majuha.

Mwanamke, mbunge, una majukumu kedekede ya kufanyia kazi leo unamuongelea mwenyekiti wa chadomo ambae tulimbwaga yeye mwenyewe kwenye uchaguzi wa urais, tena vibaya sana. Tukawabwaga na aliowateua kugombea, kwanza babu alieikacha kanoni akaanza kubugia wake za watu, halafu jitu tuliloliengua uwaziri mkuu kwa kashfa.

Halafu mbunge tena mwanamke unapoteza muda kuliongelea.

Sielewi kwanini.
 
Hii mijitu iliyotokea chadomo na kuhamia CCM ni bure tu.
Wamehamia nyumbani, walikojaa vilaza.
Shule ilienda kusomea ujinga tu.
Umeona...eh! walikohamia ujinga ni sifa
Mwanamke, mbunge, una majukumu kedekede ya kufanyia kazi leo unamuongelea...
Ni mwanamke, mbunge wa viti maalum na hayo ndiyo majukumu maalumu yenyewe huko CCM.
Halafu mbunge tena mwanamke unapoteza muda kuliongelea.
Ni mwanamke, mbunge kwa upendeleo na hapotezi muda, anatekeleza majukumu.
Sielewi kwanini.
Labda usingekuwa mwanamke ungeelewa😀😀😀!!!
 
Amini usiamini huwa sielewi Julian alipata distinction gani katika masomo yake maana she is reasoning as if has never ever been to school!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
- The first objective of any political party including CCM is to rule the country by creating a government. CHADEMA is not spared as it is not a charity organization it wants to rule. Msomi kama wewe ukishangaa chama kuwa more ambitious kuuda serikali inakuwa unaonyesha sehemu ya ujuwa wako katika siasa. Your lovely party imefanya mambo mengi sana mabaya na ya ajabu sana to insure it remains in power because it is its main and foremost objective.
- Will respond on other raised criticisms once you acknowledge your understanding of main and foremost political party objective as don't like to go on wasting time and precious calories on a politically dead body of like.
Nami pia nasubiri nikusikie nini hicho ambacho kinadhihirisha Juliana hajatoa pointi. Kwa maoni yangu katoa hoja jarabati. Many of us had misgivings as soon as the Pied Piper of Hammelin moved to CDM. Frankly, our fears have been confirmed. My reading of Juliana's post is that CDM committed tactical and strategic errors, no, blunders. Nowhere in Juliana's writing do I detect a lack of understanding of the main objective of a political party.
 
Huyu mwanamke anawashwa na CDM na ubunge haumkuni pawashapo
Ndio mwaka huu anasoma hekaya (fiction) ya Mario Puzzo na kuifanya rejea,upuuzi mtupu
Get this in your thick head CHADEMA haihitaji ushauri wa "oil chafu" kama wewe
Mtayapanga na kuyapangua, lakini keshawaeleza ukweli.
 
Inahitaji kujitoa ufahamu ili kuifahamu dira ya Chadema kwa sasa

Huyu gamba kwa mara ya kwanza naungana na analysis yake. Tatizo walilokuwa nalo wengi hasa wafuasi wa Chadema kwenye thread hii kuangalia nani mwandishi wa thread yenyewe na sio kile kilichoandikwa!! Achana na Juliana bali angalia yale yaliyoandikwa kama yana ukweli!! Chadema kwa sasa haina mwelekeo na Mbowe atakisaidia chama kama ataachia wegine wawe viongozi kuelekea uchaguzi ujao ama sivyo atabakia kufanya biashara na hicho chama. Kama fedha kisha pata baada ya kubadilisha gia angani iliyobaki ni kukirudishia chadema heshima yake.
 
Uchambuzi mzuri sana!
Uamuzi wa CHADEMA kumsafisha Lowassa kwa sababu tu ni ngazi rahisi kushindia uchaguzi (kwa wakati huo) imeondoa kabisa imani yangu kwa vyama vya siasa.
Ninaamini zaidi katika mtu mmoja mmoja kwa sasa. "Show me what you got and I will vote for you" kind of stuff.
 
Umetumia Biblia na maneno ya watu wenye hekima kuishamirisha hoja yako lakini hojazako ni dhaifu na zakipambe. Huonekani kuitakia mema hiyo cdm inayokuumiza...
Swala la unyonge na unyerere silioni chadema, naona ukakamavu katika kupigania haki na kutoa umaskini,pia fikra mpya za kujenga nchi.
Hakuna siku chadema imejitoa kupigana na ufisadi,swala ni namna wanavyopigana na huo ufisadi. Inaonesha rais anapokuwa dhaifu mfumo hudorora na waliopo chiniyake huonekana hawafai.
Hakuna kushindwa kwa aibu kulikotokea kwani mh. rais ndiyo raisi aliyepata kura chache katika historia ya chaguzi za vyamavingi zilizowahi fanyika na lowassa ndihe mpinzani aliyewahi vuna kura nyingi.
Tamaa,jeuri na kibri ndiyo vinaonekana kwako zaidi ya kwenye chama cha chadema, chadema ndiyo ilikusaidia kufika hapo,hiyo ni taasisi kubwa Sasa usijione umepevuka kiasi cha kuikosoa kwa kukejeli hâta jitihada zao. Tumempata rais huyu kwa kiasi flani kutokana na presha toka chadema,nasasa wote tunafaid utendaji Wake!
. Ushauri wangu kwa mtoa mada ni usiongee uongo,Tena kwakukazia na neno la Mungu ili kufurahisha genge lako...jifunze kusimamia ukweli na kujijengea nidhamu.
 
Back
Top Bottom