ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
Hii mijitu iliyotokea chadomo na kuhamia CCM ni bure tu.
Shule ilienda kusomea ujinga tu.
Mbona mlimpokea tena mwenyekiti wenu alimshika kiuno?
Mmemtunuku na ubunge ccm kijiwe cha wapuuzi
Hii mijitu iliyotokea chadomo na kuhamia CCM ni bure tu.
Shule ilienda kusomea ujinga tu.
Hahahahahah umewafurahisha kweli kweli nyumbu wa Lowassa wamepata ata nguvu ya kutia neno Mmawia Nguruvi3 Mag3 The Boss siku hizi simuoni Mchambuzi. Wanafiki chama lenu limekufaaaa ndio ukweli Juliana yupo right hakuna anayeamini tapeli mara mbili mlitukosakosa kutuingiza mjini na wapiga dili wenu amtupati tena
Mwandishi maarufu wa Vitabu, Mmarekani mwenye asili ya Italia, anayeitwa MARIO PUZZO aliandika maneno yafuatayo katika moja ya vitabu vyake maarufu, kinachoitwa ‘’THE GODFATHER” ninamnukuu;
“We are a family, and the LOYALTY of the family must come before anything and everyone else. For if we honor that commitment, we will never be vanquished – but if we falter in that loyalty, we will all be CONDEMNED”
MWENYE - ENZI MUNGU alipomuumba mwanadamu alimpa MWONGOZO kisha akawatuma Mitume yake ije iufundishe muongozo huo kwa watu, kisha ikawekwa bayana kuwa atakayeufuata Muongozo huo ataongoka na atalipwa PEPO na atakayeuacha ataangamia na MOTONI yatakuwa ndio marejeo yake.
Katika Zaburi 51:6 inasema “Tazama wapendezwa na KWELI iliyo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri” walio wakristo wenzangu wanafahamu mstari ukianza na neno ‘TAZAMA’ inamaanisha nini.
Baada ya utangulizi huo, kila mmoja wetu anajua kuwa LOWASSA kashindwa kwa aibu kwenye uchaguzi mkuu wa October 2015 na ni wazi kuwa MAGUFULI ndio rais wa AWAMU YA TANO wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA ambaye amekuwa ni MFANO WA KUIGWA duniani kote.
Naandika maneno haya, nikielezea kwa ufupi kabisa sababu zilizoipandisha na kuishusha CHADEMA hata kushindwa kwa aibu kabisa katika uchaguzi wa mwaka jana ili andiko hili liwe fursa ya kuamsha akili zao zilizolala.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilipanda na kukubalika kwa watanzania wengi kutoka na IMAGE ‘taswira” yake ya kutetea wanyonge, kutetea haki, uzalendo na kupinga ufisadi. Waki-stress katika hoja ya RUSHWA kama kiini cha Umasikini wa WATANZANIA.
Katika uchaguzi uliopita hali ilikuwa tofauti, walifanya makosa yatakayogharimu ‘uwepo’ wao katika ulingo wa siasa za nchi hii, makosa hayo ni kama yafuatayo;
Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi;
1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi na kwa nguvu kubwa iliyojumuisha DAMU ya watanzania. Tamaa ikawafumba macho, ikatawala akili zao, ladha ya madaraka ikatawala mioyo yao.
2. JEURI – Viongozi wa CHADEMA walipatwa na jeuri, jeuri ambayo asili yake ni FEDHA aliyokuja nayo EDWARD LOWASSA, wakadharau ushauri, wakapingana na wataalamu wao waliokuwa wakiwaamini miaka yote. Wakawashushua na kuwaona sio lolote si chochote pale walipowaeleza hatari ya kumpokea EDWARD ndani ya CHADEMA.
3. KIBRI – M/kiti wa CHADEMA na genge lake wakapatwa na kibri, wakaacha Mbachao kwa msala upitao. Wakawashambulia wenzao Slaa, lipumba na kila aliyepingana nao katika wazo lao la kumuweka EDO kuwa nahodha wa chombo chao. Wakaamini katika Edo na Matajiri wenzake wanaomuunga mkono. Ujuaji ukawa mwingi na kujiona wao ni zaidi ya kila mtu.
Ukiacha makosa hayo ya kijinga, lipo kosa la msingi kabisa walilofanya CHADEMA, nalo si jingine isipokuwa ni kosa la KUACHA MISINGI yake. CHADEMA iliundwa ama kuasisiwa ikiwa na values na commitment zifutazo;
1. Image ya unyonge, u-nyerere na Uzalendo.
Watanzania masikini waliiona CHADEMA kuwa ni chama chao, wakakichangia kwa mali kidogo walizonazo, wakajitoa kwa hali na mali, wakawa tayari kufa ili kuinusuru CHADEMA wakiamini kuwa ni chama chao.
Lakini CHADEMA ikaamua kuwasaliti Masikini wa Tanzania, wakaamua kuukataa U-nyerere [wakajivua image ya ukombozi] wakasikika wakimkosoa hadharani na kupayuka kuwa Nyerere hawezi kuwa Mungu. Wakajivua uzalendo, wakaacha kuchangisha na kutegemea ruzuku ya Edward na Rostam et al.
2. Kuzika HOJA ya UFISADI.
Chadema waliamua kuikataa, kuipinga na kujiweka mbali kabisa na HOJA ya kupinga UFISADI wakawa wako busy kuwasafisha mafisadi. Sidhani walifanya tathmini kiasi gani lakini confusion iliyozaliwa katika vichwa vya watanzania haikumithilika.
Hoja hii ndio iliyoijenga na kuitambulisha CHADEMA kwa watanzania, imani ya watanzania kwa CHADEMA ilitokana na hoja hii. CHADEMA wakaachana na hoja hii kimzaha mzaha kabisa. Hoja iliyobeba UHAI wao.
3. Kuunda AJENDA mpya ya MFUMO.
Baada ya kuzika hoja ya UFISADI wakaibua hoja mpya ya MFUMO, wakawaambia watanzania kuwa ajenda yao ni kuondoa mfumo, kwani wamegundua kuwa tatizo sio WEZI, wala rushwa bali ni mfumo ndio unatengeneza wezi na rushwa – hoja ya hovyo kabisa.
Hoja hii si tu kuwa HAIKUELEWEKA kwa Watanzania lakini imeendelea kuwa MAZINGAOMBWE hata kwa wasomi wenye ufahamu kujua kusudi na maana halisi ya MFUMO kama inavyotumiwa na CHADEMA.
4. MBOWE kuendelea kuwa M/kiti wa CHADEMA.
Miaka ya nyuma kidogo, nilieleza doubts zangu katika uwezo na maarifa ya MBOWE katika kuki-transform chama na kukiwezesha kushika dola, sikueleweka, labda sasa nitaeleweka. Lakini hata nikieleweka sasa, it’s too late, Chadema imeshapoteza watu muhimu, wasomi wenye maarifa, viongozi wenye uzalendo na kweli katika mioyo yao, wamepoteza waadilifu na sifa ya uadilifu, Chadema ya leo iko mikononi mwa wezi na mafisadi wa nchi hii, hakuna namna wanaweza kuondoka kirahisi, hata ikiwa MBOWE atajiuzulu sasa.
Mbowe betrayed principles and pillars of the family, amedanganywa akadanganyika, amepoteza legitimacy ya ku-lead the family, amekiuka misingi na commitment in the family – He must be disposed.
5. CHADEMA hawana utaratibu wa kujifanyia TATHMINI.
Chama makini hujifanyia tathmini kila jioni,kila mwezi, kila mwaka na kila baada ya tukio kubwa kama la uchaguzi. Chadema wanahitaji in-depth evaluation lakini najua kwa hakika hawatofanya kwani wao wanaamini kuwa wao ni intelligent kupindukia, hivyo hawakosei na hivyo hawana utaratibu wa kurudi mezani kujitathmini. Hili ni kosa la msingi kabisa, maana kama wangelikuwa wanafanya tathmini wasingelikubali LOWASSA kuwa mgombea wao wa milele (maana amejitangaza kuwa 2020 yumo).
Kwa makosa hayo, yote ya aina mbili yale ya msingi na hata yale ya kijinga CHADEMA imepoteza LOYALTY kwa watanzania, hawaaminiki tena, ndio maana wamepoteza uchaguzi uliopita na watapoteza zaidi.
Katika kitu kigumu ku-regain ni LOYALTY (UAMINIFU) kwani uaminifu ni kama roho, ikiachana na mwili haiwezi kurudi kwenye mwili huo. Once it’s gone, it is gone forever wenye akili mwili ukiachana na roho wanauchukua mwili huo na kuuzika haraka kabla haujaanza kuharibika na kutoa harufu mbaya, CHADEMA imeachana na ROHO yake, wenye akili wanajua kuwa MAITI mahala pake KABURINI.
View attachment 325157
Mleta mada bila shaka huifahamu Tanzania kabisa. Tena hata husomi habari za nchi hii. Tangu lini CHADEMA ilikuwa chaguo au kimbilio la Watanzania hasa hao unaowaita wanyonge? Huna habari kuwa miaka yote wananchi wanaipenda na kuichagua CCM tena kwa "kishindo"? Ni lini CHADEMA ilikuwa na misingi ya maana ya kuwafurahisha Watanzania? Mbona Dr. Slaa unayemsifia aliishia kubezwa na kuhusishwa na kuleta udini; kwamba anatekeleza ajenda ya Vatican ya kujenga "mfumo Katoliki"? Leo hii, unaamini kuwa CHADEMA, Mbowe na Lowasa pamoja na "kushindwa" uchaguzi bado ni watu wa maana sana au tishio katika siasa za Tanzania kiasi cha kuhangaika kuwazungumzia? Are they still news worthy?
Ingekuwa bora sasa ukawasahau hao watu na kuanza kuchambua asili ya majipu yanayotumbuliwa kwa "kasi" na serikali ya leo - yametokea wapi? Halafu uhangaike sana na swali hilo. Kama jibu litakufikisha tena kwa "Mbowe, Lowasa, CHADEMA" basi hapo usisite kushusha nondo za uhakika na kumfikishia Magufuli ashughulike na hiyo mizizi badala ya kupoteza muda kwenye vitawi. Vinginevyo, ukiendelea kumbakiza huyo Mbowe kichwani na moyoni wakati "hana maana" tena kwenye jamii yetu anaweza kukutia wendawazimu bure - labda kama kuna kingine tusichokifahamu. Wanaokufahamu hapa JF wanasema bado ni kijana mdogo sana. You have a life. Hold on to it. Si vyema uanze kuokota makopo kwa sababu ya "wazee" walioisha choka na maisha kama Mbowe na kampani yake.
Mwandishi maarufu wa Vitabu, Mmarekani mwenye asili ya Italia, anayeitwa MARIO PUZZO aliandika maneno yafuatayo katika moja ya vitabu vyake maarufu, kinachoitwa ‘’THE GODFATHER” ninamnukuu;
“We are a family, and the LOYALTY of the family must come before anything and everyone else. For if we honor that commitment, we will never be vanquished – but if we falter in that loyalty, we will all be CONDEMNED”
MWENYE - ENZI MUNGU alipomuumba mwanadamu alimpa MWONGOZO kisha akawatuma Mitume yake ije iufundishe muongozo huo kwa watu, kisha ikawekwa bayana kuwa atakayeufuata Muongozo huo ataongoka na atalipwa PEPO na atakayeuacha ataangamia na MOTONI yatakuwa ndio marejeo yake.
Katika Zaburi 51:6 inasema “Tazama wapendezwa na KWELI iliyo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri” walio wakristo wenzangu wanafahamu mstari ukianza na neno ‘TAZAMA’ inamaanisha nini.
Baada ya utangulizi huo, kila mmoja wetu anajua kuwa LOWASSA kashindwa kwa aibu kwenye uchaguzi mkuu wa October 2015 na ni wazi kuwa MAGUFULI ndio rais wa AWAMU YA TANO wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA ambaye amekuwa ni MFANO WA KUIGWA duniani kote.
Naandika maneno haya, nikielezea kwa ufupi kabisa sababu zilizoipandisha na kuishusha CHADEMA hata kushindwa kwa aibu kabisa katika uchaguzi wa mwaka jana ili andiko hili liwe fursa ya kuamsha akili zao zilizolala.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilipanda na kukubalika kwa watanzania wengi kutoka na IMAGE ‘taswira” yake ya kutetea wanyonge, kutetea haki, uzalendo na kupinga ufisadi. Waki-stress katika hoja ya RUSHWA kama kiini cha Umasikini wa WATANZANIA.
Katika uchaguzi uliopita hali ilikuwa tofauti, walifanya makosa yatakayogharimu ‘uwepo’ wao katika ulingo wa siasa za nchi hii, makosa hayo ni kama yafuatayo;
Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi;
1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi na kwa nguvu kubwa iliyojumuisha DAMU ya watanzania. Tamaa ikawafumba macho, ikatawala akili zao, ladha ya madaraka ikatawala mioyo yao.
2. JEURI – Viongozi wa CHADEMA walipatwa na jeuri, jeuri ambayo asili yake ni FEDHA aliyokuja nayo EDWARD LOWASSA, wakadharau ushauri, wakapingana na wataalamu wao waliokuwa wakiwaamini miaka yote. Wakawashushua na kuwaona sio lolote si chochote pale walipowaeleza hatari ya kumpokea EDWARD ndani ya CHADEMA.
3. KIBRI – M/kiti wa CHADEMA na genge lake wakapatwa na kibri, wakaacha Mbachao kwa msala upitao. Wakawashambulia wenzao Slaa, lipumba na kila aliyepingana nao katika wazo lao la kumuweka EDO kuwa nahodha wa chombo chao. Wakaamini katika Edo na Matajiri wenzake wanaomuunga mkono. Ujuaji ukawa mwingi na kujiona wao ni zaidi ya kila mtu.
Ukiacha makosa hayo ya kijinga, lipo kosa la msingi kabisa walilofanya CHADEMA, nalo si jingine isipokuwa ni kosa la KUACHA MISINGI yake. CHADEMA iliundwa ama kuasisiwa ikiwa na values na commitment zifutazo;
1. Image ya unyonge, u-nyerere na Uzalendo.
Watanzania masikini waliiona CHADEMA kuwa ni chama chao, wakakichangia kwa mali kidogo walizonazo, wakajitoa kwa hali na mali, wakawa tayari kufa ili kuinusuru CHADEMA wakiamini kuwa ni chama chao.
Lakini CHADEMA ikaamua kuwasaliti Masikini wa Tanzania, wakaamua kuukataa U-nyerere [wakajivua image ya ukombozi] wakasikika wakimkosoa hadharani na kupayuka kuwa Nyerere hawezi kuwa Mungu. Wakajivua uzalendo, wakaacha kuchangisha na kutegemea ruzuku ya Edward na Rostam et al.
2. Kuzika HOJA ya UFISADI.
Chadema waliamua kuikataa, kuipinga na kujiweka mbali kabisa na HOJA ya kupinga UFISADI wakawa wako busy kuwasafisha mafisadi. Sidhani walifanya tathmini kiasi gani lakini confusion iliyozaliwa katika vichwa vya watanzania haikumithilika.
Hoja hii ndio iliyoijenga na kuitambulisha CHADEMA kwa watanzania, imani ya watanzania kwa CHADEMA ilitokana na hoja hii. CHADEMA wakaachana na hoja hii kimzaha mzaha kabisa. Hoja iliyobeba UHAI wao.
3. Kuunda AJENDA mpya ya MFUMO.
Baada ya kuzika hoja ya UFISADI wakaibua hoja mpya ya MFUMO, wakawaambia watanzania kuwa ajenda yao ni kuondoa mfumo, kwani wamegundua kuwa tatizo sio WEZI, wala rushwa bali ni mfumo ndio unatengeneza wezi na rushwa – hoja ya hovyo kabisa.
Hoja hii si tu kuwa HAIKUELEWEKA kwa Watanzania lakini imeendelea kuwa MAZINGAOMBWE hata kwa wasomi wenye ufahamu kujua kusudi na maana halisi ya MFUMO kama inavyotumiwa na CHADEMA.
4. MBOWE kuendelea kuwa M/kiti wa CHADEMA.
Miaka ya nyuma kidogo, nilieleza doubts zangu katika uwezo na maarifa ya MBOWE katika kuki-transform chama na kukiwezesha kushika dola, sikueleweka, labda sasa nitaeleweka. Lakini hata nikieleweka sasa, it’s too late, Chadema imeshapoteza watu muhimu, wasomi wenye maarifa, viongozi wenye uzalendo na kweli katika mioyo yao, wamepoteza waadilifu na sifa ya uadilifu, Chadema ya leo iko mikononi mwa wezi na mafisadi wa nchi hii, hakuna namna wanaweza kuondoka kirahisi, hata ikiwa MBOWE atajiuzulu sasa.
Mbowe betrayed principles and pillars of the family, amedanganywa akadanganyika, amepoteza legitimacy ya ku-lead the family, amekiuka misingi na commitment in the family – He must be disposed.
5. CHADEMA hawana utaratibu wa kujifanyia TATHMINI.
Chama makini hujifanyia tathmini kila jioni,kila mwezi, kila mwaka na kila baada ya tukio kubwa kama la uchaguzi. Chadema wanahitaji in-depth evaluation lakini najua kwa hakika hawatofanya kwani wao wanaamini kuwa wao ni intelligent kupindukia, hivyo hawakosei na hivyo hawana utaratibu wa kurudi mezani kujitathmini. Hili ni kosa la msingi kabisa, maana kama wangelikuwa wanafanya tathmini wasingelikubali LOWASSA kuwa mgombea wao wa milele (maana amejitangaza kuwa 2020 yumo).
Kwa makosa hayo, yote ya aina mbili yale ya msingi na hata yale ya kijinga CHADEMA imepoteza LOYALTY kwa watanzania, hawaaminiki tena, ndio maana wamepoteza uchaguzi uliopita na watapoteza zaidi.
Katika kitu kigumu ku-regain ni LOYALTY (UAMINIFU) kwani uaminifu ni kama roho, ikiachana na mwili haiwezi kurudi kwenye mwili huo. Once it’s gone, it is gone forever wenye akili mwili ukiachana na roho wanauchukua mwili huo na kuuzika haraka kabla haujaanza kuharibika na kutoa harufu mbaya, CHADEMA imeachana na ROHO yake, wenye akili wanajua kuwa MAITI mahala pake KABURINI.
View attachment 325157
Wapiga dili? Una maana ya kivuko cha MV Dar es Salaam? Au una maana ya nyumba za serikali? Au una maana ya upotevu wa mabilioni Tanroads? Je una maana ya samaki wa Magufuli? Au una maana ya madudu ya TPA, TRA na mengineyo? Nugu yangu endelea kuuchapa usingizi, siku ukiamka utajua kwa nini mabadiliko yalipiganiwa toka 1990. Nakuacha na hii picha...tafakari tafadhali;
![]()
Nipo, nitarudi muda sio mrefu kuchambua matumaini ya mabadiliko hewa chini ya JPM. Nitakualika kwenye uzi husika ndani ya siku chache zijazo.
Shonza mwanawitu umeandika mada yako utafikira siomsomi utafikiria umetoka jana mbozi muulize zambi alivyopata shida kwenye jimbo lake hatamani kuisikia tena mbozi alikumfanya mama yake atembee uchi kwa jinsi wanaume cdm walivyopiga kazi ccm ikitaka kujua cdm imekufa muruhusu mikutano ya siasa muone nn kitakachofanyika ccm bila polisi na usalama wa taifa niwepisi kama unyoya wa kuku dogo janja jana anataka kukizindua tu kitabu mmemzuiaMwandishi maarufu wa Vitabu, Mmarekani mwenye asili ya Italia, anayeitwa MARIO PUZZO aliandika maneno yafuatayo katika moja ya vitabu vyake maarufu, kinachoitwa ‘’THE GODFATHER” ninamnukuu;